Kwanini niwachague upinzani kwenye chaguzi za viongozi

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Habari wana jf, hili ni swali ambalo kila
siku ninajiuliza kichwani mwangu
sababu hasa ni ipi inayoweza kunifanya nikawachagua wapinzani hali ya kuwa nikiangalia reflection ya kwenye majimbo yao hakuna tofauti na majimbo yanayoongozwa na viongozi kutoka ccm.

Tafadhari great thinkers sihitaji matusi ila nahitaji reasoning kutoka kwa great thinkers.

ningependa kuwasilisha
 
Back
Top Bottom