karibuni matusi sio sehemu yake.
Mtazamo wako pekeyako na akili zako.
karibuni matusi sio sehemu yake.
Waalimu na laptop katika madarasa ya vumbi na asilimia 21 tu ya watanzania wana umeme!!!! Nyumba unaweza kuwa nayo bila umeme lakini laptop kwenye vumbi na waalimu wenyewe komppyuta wanadonoa donoa na wengine hata kuziona bado ...twapoteza muda. Ningeelewa kama atahakikisha kila shule ina umeme kwanza na maji ya kunywa salam halafu hayo mengine yakafuata. Kufundisha wanafunzi wanaoharisha sijui hizo laptop watazijuaje?Nawashangaa watanzania wenzangu haswa wenye mawazo mbadala wakilishikilia bango wazo zuri la Mh MAGUFULI la kugawa laptops kwa kila mwalim wa tehama kwa ajili ya kuinua ufundishaji wa somo hilo bila kuangalia aliyoyasema mgombea wa upande wa pili Mh Lowasa. Huyu aliahidi kujenga nyumba kwa kila mtu nyumba ya kisasa ila hili haliongelewi na makuwadi wake.
Pia aliahidi kumfanya kila mtu tajiri kama Rostam na Mengi ila sioni hili watanzania wakilihubiri.
Tuache ushabiki kazi ya ulimi ni kulamba mdomo na sio pua.
1.Watanzania hatutaki kujengewa nyumba maana kutujengea nyumba za kisasa bila chakula na mahitaj ya kutumia ndani ya nyumba hizo.
3. Kila mtu akiwa tajiri nani atamtumikia mwenzie maana hinadam tumeumbwa kuwa na matabaka.
3.Kwa kawaaida kadri tunavyokuwa matajir tutahtaj maskini wa kuwanyonya ili tuwe matajiri. Na Hii haileti mantiki katika uchumi wa rangi yoyote.
Watanzania hatutaki kudanganywa
nyumbani kwangu kuna kura tano zote kwa Magufuli
kwahiyo tuendelee kuwakumbatia mafisidi,kura yangu kwa fisadi ni NO hapa hakuna atakayenishawishiNi ujinga kuongelea mambo ya zamani,habari za ufisadi tulishazika,,we are moving forward,tunaangalia ni nani atatua changamoto za watanzania,,ccm ishashindwa
Mkuu upo sawa sanaKWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:
A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%
B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.
Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa
CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.
Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe
NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema
Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.
Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika
Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:

Ila ufisadi uko palepale. Hivi mbona humzungumzii mwenyekiti wenu wa sasa ambae ndie aliempa amri ya kusaini ile mikataba ya Richmond? Nakushauri; kabla ya kuishabikia ccm, fikiria kwnz mara mbili mbili mkuu
Kampeni ya Magufuli itakuwa nyepesi sana hasa ikizingatiwa hili fisadi lowasa jukwaani ni ziro kabisa. Tafuteni clips za hao waheshimiwa waliokuwa wanamponda, hasa ya mbowe na lema zitaongeza uzito kiasi. Wasifikiri watanzania wote ni wajinga kama wao.KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:
A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%
B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.
Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa
CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.
Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe
NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema
Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.
Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika
Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Tunahitaji watu wenye msimamo kama wewe hapa Tanzania. Hawa wapumbavu wa UKAWA hawawezi kutuyumbisha na kauli walizokuwa wanazitoa, hata mimi pia msimamo wangu ni mmoja tu, hakuna kumpigia kura Fisadi. Wao walishasema Lowassa ni Fisadi. Tuko pamoja ndugu yangu, kura ni kwa Magufuli.KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:
A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%
B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.
Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa
CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.
Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe
NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema
Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.
Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika
Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Inabidi wataalam wa jamiiforums watuwekee kale kanembo ka kudislike maana haya mabandiko mengine hutakiwi hata kuhangaika nayo, unagonga tu dislike unaendelea na shughuli nyingine..
Huo ni uzushi kubwa sana. Magufuli hajawahi kutoa kauli kama hiyo kamweWaalimu na laptop katika madarasa ya vumbi na asilimia 21 tu ya watanzania wana umeme!!!! Nyumba unaweza kuwa nayo bila umeme lakini laptop kwenye vumbi na waalimu wenyewe komppyuta wanadonoa donoa na wengine hata kuziona bado ...twapoteza muda. Ningeelewa kama atahakikisha kila shule ina umeme kwanza na maji ya kunywa salam halafu hayo mengine yakafuata. Kufundisha wanafunzi wanaoharisha sijui hizo laptop watazijuaje?
KWANINI NITAMCHAGUA MAGUFULI:
A. Magufuli hakwepi kodi
Lowasa anakwepa kodi
Magufuli ametimiza malengo ya wizara yake 90%
Lowasa amefanikiwa kupiga pesa kwenye wizara zake 90%
B: KAULI ZA VIONGOZI WA UKAWA.
Atakaye muunga mkono Lowasa apimwe akili- Msigwa
CCM wamempa form kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jera, wametudharau watanzania- Lipumba.
Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani- Mbowe
NI heshima KWA mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa- G.Lema
Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) Slaa.
Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika
Je kwa kauli hizi una mshangaaje MTU aliyekua team Lowassa na sasa NI team Magufuli?
Afadhali umetuonya kwaheri na shikamoo mkuu.