Kwanini ninapo amini japo ndani ya imani yangu linatokea kweli in nature life...?

The eye sina ushaidi kuuhusu bange lakin kwa akili ya hekima bange inakutengenezea hali ya ubongo kuform images ambazo zina kuwalive displayed akilini mtu ana jiona yuko mbali lakin bange sio nzur. Pia kuhusu jicho la tatu pia linaweza kukufaya kuwa kichaa juu wa woga mwasababu likiwa over active napo ni tatizo kubwa whivh wat u think is wat will be the most thing you scary ndio kinachokukuta inashauri uongozwe na guru u kam mshana ivi rakims. Huyo anae waza kitu na kinatokea ajaribu kufanya telekenesis kuappgrade uwezo kama kwel anao
 
Sawa nakungojea kwa hamu naomba utakapo rudi uje na nondo zilizoshiba kwan hii hali imeniacha njia panda na kunistajabisha sana nimeani kweli binadamu tunaishi katika ulimwengu wenye siri nzito...








Sent using Samsung Galaxy Note7
 
Back
Top Bottom