Kwanini nikiweka Mafuta kwenye hii sheli yanakaa sana? Kuliko nyingine

Kwanza . Hizo sio sheli Kama ulivyosema na wala sio Sheri Kama mchangiaji alivyokusahihisha. Hizo ni fuel station za kampuni hizo ulizozitaja na wala si za kampuni ya shell maana kampun ya shell haipogo tena.

Kuhusu kukaa Sana Kwa mafuta ni Kama mchangiaji alivyosema na pia kwenye fuel stations kuna janja janja nyingi.
Leaded and unleaded may be the course lakin Kwa uelewa wangu mafuta ni Yale Yale
 
Ma engineer habari za j2

Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye sheli tatu (3) tu kutokana na mazingira

1. Total
2. Puma
3. Oryx

Hizo mimi ndo najaza mafuta kutokana na uhitaji na eneo ambalo nipo lazma niende moja ya hzo sheli juu.

Lakini kuna kitu nimegundua nikiweka mafuta sheli ya Total yanakaa sana kuliko sheli hzo mbili, nmefanya utafiti kwenye gari 3 Ford Ranger, BMW X1 na toyota Ist. Pia hata watu wengine wanasema mafuta ya total yanakaa saa.

Kwenu nyie hili jambo limekaaje kitaaalamu.
SHELL.jpg
 
Sasa unataka yawe yanakaa yasitumike mkuu?!

Anyways, mafuta ya hizo fuel station ni mafuta premium na sio ordinary kama yale ya oil com, camel au lake oil. Hayo ni yale premium fuel kwa maana kiwango cha juu.

Ukitazama hata bei zao zinakuwa tofauti. Sheri kama Engine, Total, puma, Victoria na moja jina limenitoka mafuta yao huwa ni premium.
Aiseee kama hujui bora unakaa kimya tu
 
Kuna sheri inaitwa muro ukijaza ya 50 unakutana na lita 17 lakini kwao inasoma 20 watu wa hapa bahi cha ajabu wanaagiza mafuta mjini na wanauza sana mtaan kuliko sheli

Sema kuna kituo cha mafuta kinaitwa Muro
Shell nayo ni kampuni tofauti
Najua tumezoea kila Fuel Station tunaita Agip au shell
Ni masahihisho tu sawa
 
Ma engineer habari za j2

Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye sheli tatu (3) tu kutokana na mazingira

1. Total
2. Puma
3. Oryx

Hizo mimi ndo najaza mafuta kutokana na uhitaji na eneo ambalo nipo lazma niende moja ya hzo sheli juu.

Lakini kuna kitu nimegundua nikiweka mafuta sheli ya Total yanakaa sana kuliko sheli hzo mbili, nmefanya utafiti kwenye gari 3 Ford Ranger, BMW X1 na toyota Ist. Pia hata watu wengine wanasema mafuta ya total yanakaa saa.

Kwenu nyie hili jambo limekaaje kitaaalamu.
Ok kwanza naomba nikurekebishe shell ni company na yenyewe ina vituo vya mafuta kama hivyo hivyo ni vituo vya mafuta makampuni hayo uliyoyataja turudi kwenye mada mafuta yanayouzwa vituo vyote tz ni sawa isipokua total wanavosema wao wana regular japo sina uhakika nalo na kingine naona labda suala la vipimo na kuna kuzidiwa kete mkuu
 
Kwanza . Hizo sio sheli Kama ulivyosema na wala sio Sheri Kama mchangiaji alivyokusahihisha. Hizo ni fuel station za kampuni hizo ulizozitaja na wala si za kampuni ya shell maana kampun ya shell haipogo tena.

Kuhusu kukaa Sana Kwa mafuta ni Kama mchangiaji alivyosema na pia kwenye fuel stations kuna janja janja nyingi.
Nawe umekosea, umechanganya Lugha.
 
Back
Top Bottom