Kwanini nikitangaza dau anakataa eti yeye siyo malaya ajiuzi lakini kutwa analia shida

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri, lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya.

Nimetangaza dau la laki tatu na afya tunapima.
 
Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri , lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya. Nmetangaza dau la laki tatu. Na afya tuna pima
Hat km ni malaya, umemshusha hadh mkuu
 
Hiyo sio namna ya kuomba mbususu! Amka we kilaza. Na huyo sio malaya kweli..., ila kuna namna ya kumpata ukiwa mwanaume unayejitambua, muhangaikaji au mchapakazi, Mwenye kujali na kujua majukumu yako. Hapo ndo unazidi kuharibu! Swala la kumpondea jamaa yake lipo kwa wanawake wote endapo jamaa ni kweli atakuwa hayupo responsible.
 
Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri , lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya. Nmetangaza dau la laki tatu. Na afya tuna pima
Hicho kichwa cha habari kinatosha ulichoandika hapa chini ni marudio.
 
Back
Top Bottom