Kwanini nikiona walemavu wa viungo au ombaomba nakuwa mnyonge?

khalta

Member
Oct 21, 2017
66
123
Habari zenu wapendwa,

Sielewi nimepatwa na nini hata, kuna hali huwa inanijia mfano nikipita barabarani nikaona wale watoto wanaombaomba jamani napata na huruma sana moyo unaniuma hadi nalia.

Nikipishana tu na mtu mzima sana labda kiwete au mgonjwa au nikiona tu huyu mtu kajichokea jamani sielewi hii hali inatokea wapi nabadilika ghafla najikuta mnyonge sana.

Kuna mahali nilipita nikanunua kitu basi yule kijana akaniambia "Ahsante sana dada yangu Ahsanteeee kwa kuniungisha" huku akiiweka mikono yake kifuani kwake daaah aisee nilijikuta natokwa na chozi na huzuni ghafla.

Huwa nikimuangalia mtu ambaye najua anahitaji msaada kwa muda huo alafu hakuna uvumbuzi kwakweli naumia kabisa hadi naanza kuhisi hivi isije ikawa ni ugonjwa maana huzuni mara kwa mara nisaidieni hata siielewi hii hali kwanini inanitokea.
 
Kwasababu una huruma

Mimi roho huwa inaniuma sanaaaa hadi kulia kama ikitokea nimemjibu mtu vibaya akiwa hajanikosea(hasira zangu kumalizia kwa asiyehusika),na huwa nakuwa vizuri baada ya kumuomba msamaha mixer kujikomba komba kwake hadi nimuone tumekuwa vizuri

Kwa hiyo mi naona ni kawaida kuwa hivyo...kama una pesa kuwa mtoaji

Hiyo huruma ipo hadi kwa wanaume wanaokuomba?(kama wewe ni mwanamke)
 
Hapana sina huruma navy hvy viumbe
 
Habar zenu wapendwa
Sielew nimepatwa nann hata,kuna hali huwa inanijia mfano nikipita barabaran nikaona wale watoto wanaombaomb jamn napata na huruma saaana moyo unaniuma hadi nalia

Nikipishana tu na mtu mzima saaana labda kiwete au mgonjwa au nikiona tu huyu mtu kajichokea jamn sielew hii hali inatokea wapi nabadilika ghafla najikuta mnyonge sana

Kuna mahali nilipita nikanunua kitu bac Yule kijana akaniambia "Ahsante sana dada yangu Ahsanteeee kwa kuniungisha" huku akiiweka mikono yake kifuani kwake daaah Aisee nilijikuta natokwa na choz na huzin ghafla

Huwa nikimuangalia mtu ambaye najua anahitaj msaada kwa muda huo alafu hakuna uvumbuzi kwakweli naumia kabisa hadi naanza kuhic hv isije ikawa ni ugonjwa maana huzuni mara kwa mara nisaidien hata siiekew hii hali Kwann inanitokea
mimi huwa silii ila kuna kitu kama huwa kinaniuma,
 
Pole sana mkuu huyo ni roho mtakatifu yupo ndani yako hata waraka wa petro sura ya 13 mstari wa 5 hadi 9 unasema hayo
Ujue siku zote nilikuwa najiuliza kwa nini unalamba ban kila siku wakati we mtoto mzuri kumbe mkorofi eeh?
 
Kwasababu una huruma

Mimi roho huwa inaniuma sanaaaa hadi kulia kama ikitokea nimemjibu mtu vibaya akiwa hajanikosea(hasira zangu kumalizia kwa asiyehusika),na huwa nakuwa vizuri baada ya kumuomba msamaha mixer kujikomba komba kwake hadi nimuone tumekuwa vizuri

Kwa hiyo mi naona ni kawaida kuwa hivyo...kama una pesa kuwa mtoaji

Hiyo huruma ipo hadi kwa wanaume wanaokuomba?(kama wewe ni mwanamke)
Yani upo kama mimi,nsamehe kwa kukukwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom