Kwanini nikiomba ajira kwa Mohammed Enterprises Tanzania Limited - MeTL huwa siitwi?

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,369
2,000
M n mtaalam wa maabara za viwandani nimeomba had kijasho naombeni mwenye connection anisaidie
 

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,830
2,000
Jamaa mishahara yao kidogo sana,kuna tangazo nililiona mshahara 300K halafu ni Diploma
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom