Kwanini nikila maembe huwa nasikia kichefuchefu na kutapika?

Superb2014

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
8,464
6,509
Ni imani yangu kuwa wote ni wazima Mungu anaendelea kutupigania.

Naomba msaada wana JF

Nilikuwa nakula maembe kama kawaida pasipokuwa na shida yoyote, lakini nina miaka kama sita sasa hivi sidhubutu kula maembe au kunywa Juice ya maembe kwa sababu kila nikila embe au nikinywa juice ya embe huwa najisikia kichefuchefu na kutapika sana, baada ya kutapika huwa najisikia sawa kabisa. Hata nikisikia harufu ya embe huwa najisikia kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom