Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,196
- 113,480
arifu iweke vizuri tukuelewe.......
Ina maana way of life ya watanzania ndio hasa inayo determine elimu yetu?
Ndiyo arifu....watu wenye akili hawaishi maisha ya dhiki huku supposedly wakiwa wamezungukwa na utajiri bwerere. Kuna vi-nchi huko Ulaya havina hata robo ya utajiri asili tulionao sisi lakini viko juu sana kimaendeleo.
Ngoja nikuulize. Katika miaka 100 iliyopita kuna kitu gani kilichovumbuliwa Tanzania na Afrika kwa ujumla kilicholeta mageuzi makubwa katika maisha ya mwanadamu?
Na kwa nini sheria zetu zinaandikwa katika lugha ya kigeni ilhali tunayo na sisi ya kwetu?