Kwanini ni vigumu kwa watu wenye ulemavu kuwa katika mahusiano?

Mwaka gani mkuu naona unaifahamuud. Hata computer inafanya kz vizuri kabisa
2017 ndio tuliondoka jamaa alikuwa anachukua history and PS, alikuwa na Simu+laptop na anatype vizuri tu!!

Wewe ni kijana wa Mwalimu Shayo!! Au Nsimbila au kisanga!??
 
Habarii wana JamiiForums, hope mpo poa. Nadhani wote tupo nyumbani mida hii maana weekend imeanza mapema kutokana na sikukuu za nane nane kushukia hapa hebu nisiwachoshe twende moja kwa moja kwenye mada

Hivi kwanini inakuwa shida watu wenye ulemavu kuingia kwenye mahusiano, iwe mvulana iwe msichana lazima kuna kuwa na ugumu fulani yaani unaweza kuta mtu anamtokea mwanamke fulani awe mwanaume anamtongoza mwanamke fulani lakini akijua tu ni mlemavu lazima aache kitu kinachopelekea kupungua kwa confidence kwa watu wenye ulemavu

Katika maisha NGONO ni kitu muhimu sana kwa binadamu ili aweze kufanya kazi vizuri na kujituma NGONO ina mchango mkubwa sana kiuchumi na kijamii japo hili watu huwa hawaliongei sana

Kuna athari kubwa sana kiafya na kisaikolojia kuishi muda mrefu bila kufanya NGONO sasa basi naomba michango yenu

Kwanini imekuwa ni ngumu kwa watu wenye ulemavu kuwa na mahusiano ya kimapenzi?

Nini hasa kifanyike ili kusababisha kundi hili lionekane ni la kawaida katika jamii?
Kama kichaa anapata Mimba, iweje mlemavu abaguliwe?
 
haitakuwa na ugumu kama wakitongozana wao kwa wao
 
Katika Uislam kama mwanamume yurijali na anakili timamu sharia ya dini inaruhusu kuoa.

Hivyo basi kama mtu ni saa mbovu "ulemavu wa akili" au uhanithi "kutodindisha" sharia haimruhusu.
Mbona kuna mlemavu alisaidia kutunga quran
 
Back
Top Bottom