Elections 2010 Kwanini ni vigumu kuiba kura katika Uchaguzi Wetu - Tusitafute visingizio

Kwanza tupige kura na kumchangua Dr Slaa. Tusije kuanza kupanga mikakati na kupelekea kutopiga kura. Mwaka huu kitaeleweka tu
 
Je mbona ile habari iliyoandikwa na Mulangira imetolewa hapa? Je wakuu wa mtandao wameichakachua?
 
Mwanakijiji,

Kwa hiyo Dr. Slaa anayesema mahakama iliridhika kuwa aliibiwa kura zaidi ya 3000 anadanganya?
 
hata wafanyeje hawataweza mwaka huu..wanajisumbua tu wanahangaika kuuza mtu aliyeshindwa tayari ....
 
Askari mmoja wa cheo cha juu kule Zenji jana kasikika akikemea mtu yeyote atakayebaki kituoni mara baad atu ya kupiga kura atakiona cha moto. Haya si maandalizi ya uchakachuaji wa kura kweli? Nina wasiwasi mkubwa kuwa mawakala wa vyama vya upinzani watanunuliwa na ccm na hivyo kufanya kazi yao kuwa rahisi. Jamani tayari tumeshaliwa. Hebu imagine:-
1. hotuba ya vitisho ya jk itakayotolewa mwisho wa mwezi,
2. askari kusambazwa kwenye vituo vyote vya kupigia kura wakijifanya kusimamia amani,
3. kutoruhusiwa wapiga kura kubaki ili kuchunga kura zao zisiibiwe,
4. kununuliwa kwa mawakala kwa lengo la kurahisisha uchakachuaji wa kura.

Lazima tuwe makini saaaana mwaka huu.
 
Miaka kumi nyuma mada hii inahusika..he vituo hewa vya kupigia kura vinaweza kufanya kazi vipi?
 
Cdm bwana washaanza kutapata kabla mzee baba kupita ... Watajibeba after uchaguzi watafute shimo la kujifichia

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom