Kwanini ni rahisi sana na mno Kumtongoza na Kumpata Mwanamke Facebook na Istagram ila huwa ni Mtihani mzito kwa waliopo Twitter?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu na anza Kutiririka na Kuserereka pia.

Kheri kwa Siku ya Wanawake duniani.

Nawasilisha.
 
Gentamycine ; utasababisha nijiunge na Instagram sasa.
Mimi niko busy na JF tu, hata FB niliitelekeza.

Maana nimezoea mitongozo ya live.
Instagram sipo kabisa, kumbe napitwa mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tu hujajua kwanini? Jibu ni rahisi...Kwa sababu hao wanaopatikana sana FB na IG hawapo huko Twitter. Si rahisi kumkuta mwanamke Asiyejitambua akawa anamiliki account ya twitter cos huo ni mtandao wa watu wenye "Kitu fulani kichwani" hivyo si rahis kumuingilia kichwa kichwa..hope umenipata!!
 
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu na anza Kutiririka na Kuserereka pia.

Kheri kwa Siku ya Wanawake duniani.

Nawasilisha.
Wengi wanaoingia tweeter ni ;

-information seekers while facebook is a ground of friends and happy moments.

- Are relatively rational and have their own life while in facebook most of them are students and dependent in their life.

-most tweeters have facebook experience in at least once in their life unlike the facebookers.

-most are married or not teeneger who likely need to go for boys hunt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IG na FB kule wengi tunaunga magroup kwa elfu tatu

mpuuzi mpuuzi tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom