Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

daah sema hakyamungu, hata kutishia tu kujiua hutofanya? Vibaya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha embu fikiria nakupenda kwa dhati, nategemea unanipenda pia, alafu mwisho unifanyie unyama ? Ninani wakua ktk sehem ya faida ?.


Yaan nilie , nijiue, nijidhuru, niangukie kwenye ulevi na tabia za ovyo..kisa mwanamke Ninayempenda kaniumiza ?? Hahahhaha.
Nitakua wa wa mwisho kabisa kukubali huu ujinga,..Mimi nitaumia sana ikiwa nimimi chanzo , nitaumia na nitakuomba msamaha.


Wengine wakiombwa msamahaa yaan Wa nataka uombe sanaaaa, wengine hubadili msamaha kua sehem sasa kumuumiza mwenzake nakumkomoa na kumjutisha ...kwakweli hapa napo nitaangalia, Uzito wa kosa je unanihitaji nivumilie mpaka unisamehe ? Je nivumilie uku Nikiendelea kushuhudia maumivu na kunikomoa? .. Kama niivo usishangae nikakuambia KWA HERIIIIIIII UFIKE SALAMAAAAA KWA BABA NAMAMA , TUTAONANA KESHOOOO KWAHERI MWALIMU !!.



in fact Nina moyo wa chuma, na moja ya Sera ya maisha yangu ni kutoruhusu MTU wapili anipe maisha ya ajabu.
Ukinipenda Mara moja, Nita kupenda Mara mbili.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchepuko sio inshu... Yaan MTU yule aliyeukamata moyo wako kila sehem akikuzengua amekuzingua tu na Utajikuta huna hamu na michepuko...nahata ukienda ukicheza namashine haisimami sababu kichwan hauko sawa.,
Mwanamke mkiachana huumia zaidi ya mwanaume.. Lakini huwahi kusahau sisi huwa hatuumii sana lakini tunachelewa kusahau hasa kama MTU mlizoeana sana.

Kwa kifupi kinachotesa wanaume ni mazoea, Ndo maana michepuko nu ya muhimu sana wakati mwingine

Mwanaume jitahidi uwe na mchepuko ndo maana wakaumbwa wengi zaidi yetu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu Wajifunze tu kuhimili Stress Mara wanapokutana na changamoto kama hizi maishani mwao..


Kua na michepuko sio suluhisho,, ndio maana Mwanaume unaweza kua una mke na unagonga wanawake huko...

Ila siku mkeo akigongwa, kama huna moyo wa chuma ni R..I.P !!.


Kuweni na Ufumbuzi wa muda mrefu sio.vitu vinavyotoa unafuu wa muda !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ametupa "maarifa" ya maisha ni sisi upumbavu wetu tu.Unadhani alipokwambia "umpende" mkeo alikupa moyo kopo tupu bila nati ya upendo?,mwanamke hakuumbiwa hivyo ndio maana akikufumania ukijishusha ukagalagala chini anasamehe na kusahu.Jiulize kwanini ukigongewa wewe unaweza kuua mtu?.....kiukweli wanaume tulipewa adhabu kubwa na ndio maana yeye alisema tuishi nao kwa akili.
 
Kuendekeza maumivu na roho nyepesi. Maumivu ni changamoto inayokuja kwa ajili ya kugundua makosa na kurekebisha lakini sio kujiua.

Kuumia kupo, kuachwa kupo lkn ndio muda mzuri wa kujitafakari na kushukuru kwa kumtambua tabia zake na kutokukupotezea muda zaidi.

Wanaume wenzangu msijiue, kama mnapitia kipindi kigumu bora mnicheck hata kwa ushauri na alternatives nitawapatia mbinu mbadala na ku-move on.

Maisha matamu, msijinyonge wala kujiua kwa ajili ya mapenzi. Huo ni udhaifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
easy: a women is very strong emotionally , a man is strong physically, ni sawa sawa na wao wanaoshangaa unawekwa fimbo class ila bado umekunja sura
 
Kwa sababu ninyi ni mabingwa wa kuficha hisia zenu, hata mkiachwa mnajitia wagumu kama hamjali vile wakati mmeumia mpaka mwisho. Mlimcheka sana yule baharia wa Hamida ila ile ni tiba kubwa sana ( sijasema wote mlie na kujigaragaza topeni).

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulalamika, kulialia na kuelezea watu matatizo yako hasa ya mapenzi ni udhaifu kwa mwanaume, alichokifanya huyo kijana ni fedheha
 
Huu utafiti hauna ukweli wanawake kibao wanakunywa sumu na wanaacha mesej, kbao wanajinyonga pia

Sent using Gun Trigger
 
Chilling.........................

Siwezi kufa kisa mapenzi mimi tena hili pepo linipite kushoto hukooooooooooopppo
 
Mwanaume anatakiwa kufanya haya katika mahusiano.
*Kumlinda
*Kumtunza
*Kumfurahisha/kumridhisha.
*Kumtibu akiugua
*Kumpa hela

Mwanamke anatakiwa kufanya haya katika mahusiano.
*Kumheshimu
*Kumpa papuchi mwanaume.
*Kusaidia baadhi ya majukumu.

Kwa majukumu hayo unaweza kupima mwenyewe nani anatakiwa kujiua inapothibitika kasaltiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie si huwa mnaficha hisia/maumivu yenu eti mnaogopa kuchekwa! Ndio maana mnakuwa na maamuzi ya ajabu.

Mi siwezi kujiua kisa mapenzi, hapana kwakweli! Kuna maisha baada ya mapenzi
 
Kutokana na mfumo wa maisha ,mwanamke hukomazwa zaidi kihisia,wanavumilia sana,

California love
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom