Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 588
- 371
Hawana Dira ya chama.
naomba nikiri wazi kabisa kwamba sijawahi kumdharau mtu yeyote katika dunia hii kwa kiwango nilichokudharau wewe .
Inaonekana bado wapo wajinga wachache wanaoendelea kumuabudu fisadi Lowassa.
Kushabikia chadema kwa sasa ni sawa na kujitangaza kwamba wewe ni shoga
Kila kukicha vijana, watu wazima, wazee wanazidi kujenga chuki dhidi ya chama hiki ambacho kabla ya uchaguzi kilikuwa kikijipambanua kuwa kinachukia ufisadi, sasa baada ya Lowassa kufanya vimbwanga vyake nakujichukulia kwa wepesi CHADEMA hadi kuhamisha hata makao makuu toka kwa Mbowe hadi kwa Edward Ngoyai Lowassa.
Watu wengi sana wanasikika kuichukia CHADEMA na kuifanananisha na SACCOS.
Itazame ID yako vizuri

Hali imekuwa ngumu sana, kwa sasa kijiweni ukimsema vibaya Magufuli unaweza usitoke salama.Inabidi kwa sasa ukijitaja Chadema lakin sharti umalizie kwa kusema Magufuli jembe.
Kila kukicha vijana, watu wazima, wazee wanazidi kujenga chuki dhidi ya chama hiki ambacho kabla ya uchaguzi kilikuwa kikijipambanua kuwa kinachukia ufisadi, sasa baada ya Lowassa kufanya vimbwanga vyake nakujichukulia kwa wepesi CHADEMA hadi kuhamisha hata makao makuu toka kwa Mbowe hadi kwa Edward Ngoyai Lowassa.
Watu wengi sana wanasikika kuichukia CHADEMA na kuifanananisha na SACCOS.
asilimia kubwa ya watu wa arusha akili zimeganda, vichwa pembe. jaribu kuwaza, wakati ujana unampeleka puta makongoro, wakamchagua kuwa mbunge wao. sasa wamechagua lema, anayesimama jukwaani na kumtambulisha mkewe akisema 'mnamwona dam wangu.' arushans ovyo kabisa.
Chadema Ni pumzi ya taifa kwa sasa
Kkkkkkk aisee hao POPOZ POA,watakuchikiajeKushabikia chadema kwa sasa ni sawa na kujitangaza kwamba wewe ni shoga
Unamaanisha pumzi inayotoka kwa nyuma?