Kwanini ni aibu sana kuishabikia CHADEMA siku hizi?

Kila kukicha vijana, watu wazima, wazee wanazidi kujenga chuki dhidi ya chama hiki ambacho kabla ya uchaguzi kilikuwa kikijipambanua kuwa kinachukia ufisadi, sasa baada ya Lowassa kufanya vimbwanga vyake nakujichukulia kwa wepesi CHADEMA hadi kuhamisha hata makao makuu toka kwa Mbowe hadi kwa Edward Ngoyai Lowassa.

Watu wengi sana wanasikika kuichukia CHADEMA na kuifanananisha na SACCOS.

Naona umetumwa na lumumba
 
Sasa umeandika nini? Watu wengine sijui huwa wanafikiria nini, uchaguzi umeisha, watu wanafikiria maendeleo ya kututoa tulipo ili tusukume gurudumu mbele wewe unaleta ushabiki wa vyama. Hebu jifunze kufikiria mada za kuleta humu.
 
Mbona sijaona kubwa la maana tangu magufuri aingie madarakani zaidi mfumuko wa bei kuzidi sana.rais alikuwa mkapa.
 
Hali imekuwa ngumu sana, kwa sasa kijiweni ukimsema vibaya Magufuli unaweza usitoke salama.Inabidi kwa sasa ukijitaja Chadema lakin sharti umalizie kwa kusema Magufuli jembe.

Hahaaaaaa hatari sanaa
 
Kila kukicha vijana, watu wazima, wazee wanazidi kujenga chuki dhidi ya chama hiki ambacho kabla ya uchaguzi kilikuwa kikijipambanua kuwa kinachukia ufisadi, sasa baada ya Lowassa kufanya vimbwanga vyake nakujichukulia kwa wepesi CHADEMA hadi kuhamisha hata makao makuu toka kwa Mbowe hadi kwa Edward Ngoyai Lowassa.

Watu wengi sana wanasikika kuichukia CHADEMA na kuifanananisha na SACCOS.

Ungetwambia chama kipi kinashabikiwa kwa furaha na hata ukivaa mavazi yao unashangiliwa kuliko kusema cdm basi
 
asilimia kubwa ya watu wa arusha akili zimeganda, vichwa pembe. jaribu kuwaza, wakati ujana unampeleka puta makongoro, wakamchagua kuwa mbunge wao. sasa wamechagua lema, anayesimama jukwaani na kumtambulisha mkewe akisema 'mnamwona dam wangu.' arushans ovyo kabisa.

JK alitumia ndege ya serikali kwenda kumuokoa mwanae asinyongwe China. Huyo ndiyo mwenye akili. Na wewe anakwambia changanya na za kwako. Arusha hatuna upuuzi huo Arusha ni Lema na Lema ni Arusha. Wenye akili Dar wameyapiga chini maCCM.
 
(QUOTE-ZILLANDER MPEMA; 14884321)
mbona una hema, unatweta tena watokwa povu. Umenena vema lakini kuhusu uozo wa ccm, umeliangalia jambo hili kwa kwa macho mawili. ngoja nikufungue la tatu.
ni aibu sana kuishabikia cdm siku hizi kwa sababu moja tu- kumkaribisha fisadi el na kumpa ugombea urais.
labda umri wako ni mdogo au umeamua kujitoa ufahamu, hakuna asiyejua kuwa yote uliyoyasema kuhusu uozo wa ccm el na kundi lake ndani ya ccm wanasehemu kubwa sana. uozo huo, el hawezi kuukwepa asilani. ndani ya uongozi wa ccm el ana zaidi ya robo tatu ya wafuasi. serikalini watendaji wengi ni pro el na ndo majipu yanayotumbuliwa sasa.
falsafa ya kuvua gamba ilimlenga el na wafuasi wake. kama unaichukia ccm kwa uozo wake fahamu jambo hili- el and co. are part and parcel ya uozo wa ccm. usibishe. kwa msingi huu cdm lazima muone aibu.
ccm tunafurahi, tumejaa kicheko, tunashangilia kwa sababu jpm anafanya kile ambacho sisi ccm asili tulikuwa tunakitamani. anakonga nyoyo zetu. karibu ccm. uliko jua linazama na kiza totoro linawaangukia.
 
acheni hizo nchi hii ina uhuru wa kusema utakacho ilimradi usivunje sheria za nchi, sijao ni lipi magufuli kalifanya maana anayofanya ni wajibu wake sioni jipya hata moja
 
Tangu mafisadi wa ccm walipoiteka chadema imekuwa ngome kuu ya kuhifadhi ufisadi na ndio maana hata mbowe siku hizi anaogopa kusema neno Fisadi
 
Back
Top Bottom