Kwanini nguvu nyingi hazitumiki.Mchakato wa Katiba Mpya na Sensa nini Muhimu kwa sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini nguvu nyingi hazitumiki.Mchakato wa Katiba Mpya na Sensa nini Muhimu kwa sasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Sep 2, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Sensa ni jambo la kila baada ya miaka 5, lkn katiba mpya ni jambo ambalo linahitaji hata mapigano na nguvu kubwa ya watawala kukubali mabadiliko .
  Sasa hivi kuna mchakato wa katiba mpya ambapo kwa kiwango kikubwa umepooza. Katiba ndio msingi wa maendeleo lkn kwa sasa ndio suluhu ya UFISADI unaonea kwa kasi Kwanini nguvu nyingi hazitumiki wananchi kulazimishwa kuchangia katiba mpya ili taifa letu?
  Kwanini vyama vya Upinzani na vyobo vya habari sasa kimya Tofauti na sensa?
   
Loading...