Kwanini Ndugai anaongea uongo? Kauli ya Prof Assad ni "bunge lina udhaifu sio Bunge Dhaifu" shida iko wapi? Wao malaika?

Nakumbuka prof Assad alisema bunge lina udhaifu hasa katika kuisimamia serikali kwa sababu alitoa mapendekezo na hayakufanyiwa kazi lakini hakuna sehemu aliposema bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wa bunge.

Sasa Ndugai anaposema bunge dhaifu kalitoa wapi?
Anachofanya ni kujaribu kutuaminisha kua wao wako perfect for 100%. Sasa nawaza ni bunge hili hili la kina Lusinde ndo liwe perfect kwa hata 50% kweli??
 
Nakumbuka prof Assad alisema bunge lina udhaifu hasa katika kuisimamia serikali kwa sababu alitoa mapendekezo na hayakufanyiwa kazi lakini hakuna sehemu aliposema bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wa bunge.

Sasa Ndugai anaposema bunge dhaifu kalitoa wapi?
Mtarudia sana nyuzi,huu mkote hauhitaji papara mlizonazo,upo kiustadi zaidi
 
Nakumbuka prof Assad alisema bunge lina udhaifu hasa katika kuisimamia serikali kwa sababu alitoa mapendekezo na hayakufanyiwa kazi lakini hakuna sehemu aliposema bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wa bunge.

Sasa Ndugai anaposema bunge dhaifu kalitoa wapi?
Tatizo ndungai haelewi katiba
 
Utajua udhaidu wake kamili muda si mrefu na ndio tutahitimisha haya mabishano

Hana ubavu wa kumfanya lolote kisheria wala kihoja, labda itumike ile mbinu ya kishamba ya Tundu Lissu. Na mbinu zozote za mabavu hazitaondoa huo udhaifu uliopo.
 
Kinachonifuraisha nikuwa prof. yeye katulia tulii na dua zake huku watu wako wanaangaika, mara uende kwa rais uombe msamaha oooh! mara report tunaipokea ila yeye hatumtaki ya nin kuangaika !si waseme tu kuwa cag unaminya upigaji.
Kiukweli napongeza kazi nzuri ya cag,tatizo linalonikera ni nyuzi zenye maudhui yanayofanana ila zinabadilishiwa heading, ni ufala huo,watu walewale wenye Id zisizopungua tano,wanamdanganya nani?
 
Unamuongelea Ndugaye yupi huyo?
Nakumbuka prof Assad alisema bunge lina udhaifu hasa katika kuisimamia serikali kwa sababu alitoa mapendekezo na hayakufanyiwa kazi lakini hakuna sehemu aliposema bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wa bunge.

Sasa Ndugai anaposema bunge dhaifu kalitoa wapi?

In God we trust
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom