mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,835
- 106,035
We jzi kalaleMtarudia sana nyuzi,huu mkote hauhitaji papara mlizonazo,upo kiustadi zaidi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
We jzi kalaleMtarudia sana nyuzi,huu mkote hauhitaji papara mlizonazo,upo kiustadi zaidi
"Spika amelifanya Bunge ni mali yake binafsi, hataki kusikiliza mawazo ya wabunge wenzake" Mhe. Mbowe.
Ni dhaifuuuu tu no wayMtarudia sana nyuzi,huu mkote hauhitaji papara mlizonazo,upo kiustadi zaidi
Utajua udhaidu wake kamili muda si mrefu na ndio tutahitimisha haya mabishano
Kiukweli napongeza kazi nzuri ya cag,tatizo linalonikera ni nyuzi zenye maudhui yanayofanana ila zinabadilishiwa heading, ni ufala huo,watu walewale wenye Id zisizopungua tano,wanamdanganya nani?
Ndio!...UDHAIDU?...
In God we trust
Ndio!
Hapa sasa Kazi ameonesha udhaifu wake kwa kutapatapa huku na kutuonesha kuwa hata katiba haisomi vizuriKinachonifuraisha nikuwa prof. yeye katulia tulii na dua zake huku watu wako wanaangaika, mara uende kwa rais uombe msamaha oooh! mara report tunaipokea ila yeye hatumtaki ya nin kuangaika !si waseme tu kuwa cag unaminya upigaji.
Job ni spin doctor....Our media is lazy and stupid....kama media ingesimamia professionalism, hili sakata lisingefika mbali kwani wangebainisha alichosema CAG na spinning ya Job ingedhihirika.Nakumbuka prof Assad alisema bunge lina udhaifu hasa katika kuisimamia serikali kwa sababu alitoa mapendekezo na hayakufanyiwa kazi lakini hakuna sehemu aliposema bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wa bunge.
Sasa Ndugai anaposema bunge dhaifu kalitoa wapi?
hujui sababu?!Nakumbuka prof Assad alisema bunge lina udhaifu hasa katika kuisimamia serikali kwa sababu alitoa mapendekezo na hayakufanyiwa kazi lakini hakuna sehemu aliposema bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wa bunge.
Sasa Ndugai anaposema bunge dhaifu kalitoa wapi?
KabisaNdugai anaelewa katiba, ila huu ni mpango maalum.
Wakishindwa kwa hili wanaweza kum suicide awe makini
Sent using Jamii Forums mobile app
patheticMlimuona spika fala..sa hv kauli yenu mnaanza kuipamba ili ipunguze ukali wa maneno....amewin kuisoma ripoti yake na sie tutamuonyeshea mbele ya safar, alishindwa kutusitah kweny media bas asitarajie tutamsitah popote, kila mmoja asimamie kiti chake af tuone nan mbabe, ss ndo tunailinda katiba, tuna uwezo wa kuifumua fumua na kuipanga upya
Ni SACCOS yake binafsi"Spika amelifanya Bunge ni mali yake binafsi, hataki kusikiliza mawazo ya wabunge wenzake" Mhe. Mbowe.
Kwani ubinafishaji Bunge la Jamhuri umepewa baraka na nani?"Spika amelifanya Bunge ni mali yake binafsi, hataki kusikiliza mawazo ya wabunge wenzake" Mhe. Mbowe.
Utajua udhaidu wake kamili muda si mrefu na ndio tutahitimisha haya mabishano
Simuongelei Cag,naongelea kauli dhidi ya spika