Kwanini Ndugai anaongea uongo? Kauli ya Prof Assad ni "bunge lina udhaifu sio Bunge Dhaifu" shida iko wapi? Wao malaika?

Kiukweli napongeza kazi nzuri ya cag,tatizo linalonikera ni nyuzi zenye maudhui yanayofanana ila zinabadilishiwa heading, ni ufala huo,watu walewale wenye Id zisizopungua tano,wanamdanganya nani?

Kama unadhani ni rahisi kuwa na id zaidi ya moja na kisha kuchangia kwa mtiririko tofauti, jaribu kumiliki hata id mbili tu uone mziki wake.
 
Mlimuona spika fala..sa hv kauli yenu mnaanza kuipamba ili ipunguze ukali wa maneno....amewin kuisoma ripoti yake na sie tutamuonyeshea mbele ya safar, alishindwa kutusitah kweny media bas asitarajie tutamsitah popote, kila mmoja asimamie kiti chake af tuone nan mbabe, ss ndo tunailinda katiba, tuna uwezo wa kuifumua fumua na kuipanga upya
 
Kinachonifuraisha nikuwa prof. yeye katulia tulii na dua zake huku watu wako wanaangaika, mara uende kwa rais uombe msamaha oooh! mara report tunaipokea ila yeye hatumtaki ya nin kuangaika !si waseme tu kuwa cag unaminya upigaji.
Hapa sasa Kazi ameonesha udhaifu wake kwa kutapatapa huku na kutuonesha kuwa hata katiba haisomi vizuri
Poor Kazi
 
Nakumbuka prof Assad alisema bunge lina udhaifu hasa katika kuisimamia serikali kwa sababu alitoa mapendekezo na hayakufanyiwa kazi lakini hakuna sehemu aliposema bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wa bunge.

Sasa Ndugai anaposema bunge dhaifu kalitoa wapi?
Job ni spin doctor....Our media is lazy and stupid....kama media ingesimamia professionalism, hili sakata lisingefika mbali kwani wangebainisha alichosema CAG na spinning ya Job ingedhihirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlimuona spika fala..sa hv kauli yenu mnaanza kuipamba ili ipunguze ukali wa maneno....amewin kuisoma ripoti yake na sie tutamuonyeshea mbele ya safar, alishindwa kutusitah kweny media bas asitarajie tutamsitah popote, kila mmoja asimamie kiti chake af tuone nan mbabe, ss ndo tunailinda katiba, tuna uwezo wa kuifumua fumua na kuipanga upya
pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu anakiri udhaifu pale anapofanya dua. Bunge wanafanya sala/dua kabla ya kuanza kikao. Wanaomba nguvu nyingine iwasaidie. Bunge ni dhaifu.
 
Mleta mada siyo kwamba hawajui CAG alisema nini, ila HAWAMTAKI.

Namuomba CAG asimamie kiapo chake na katiba ya nchi!

Akijiuzulu maana yake anakubali kuwa kweli akilidharau bunge na hii itamharibia CV yake!

CAG hakusema bunge ni dhaifu, alisema "lina udhaifu wa kusimamia serikali katika ripoti zake za ukaguzi" sasa hapo shida iko wapi?.

Kwani Bunge ina maana lenyewe ni imara 100% halina udhaifu hata wa 0.00001%?
 
"Spika amelifanya Bunge ni mali yake binafsi, hataki kusikiliza mawazo ya wabunge wenzake" Mhe. Mbowe.
Kwani ubinafishaji Bunge la Jamhuri umepewa baraka na nani?
Kama ndio hivyo tumeigia zama za ukoloni pandikizi.Mwisho wake ni mbaya sana kwani kizazi hiki hakipo tayari kumlamba miguu fadhuri yeyote.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom