Kwanini ndoa nyingi za watu waliopishana miaka michache (rika moja) huwa zinadumu muda mrefu na kuwa na changamoto ndogo ndogo sana?

Ndoa nyingi za watu waliopishana miaka michache (rika moja) huwa zinakuwa na changamoto ndogo ndogo sana.
Ni kweli
Sababu Wana common interest, wanashare friends na story nyingi za kupiga. Hata kwa kipato Wana grow pamoja na kuhesgimiana as wanatafuta wote. Tofauti na unakuta Kila kitu kipo
 
Miaka ya nyuma mababu zetu waliwapiga gap kubwa mabibi zetu,ndoa zilidumu na waliheshimiana.So hiyo research yako karudie tena kwani siku hizi rate ya talaka inakuwa siku hadi siku.

Mwaka juzi bi mkubwa alikuwa mmoja wa wasuluhishi wa maswala ya ndoa kanisani alichaguliwa na padri,ilifika kipindi yeye mwenyewe alikuwa amechoka/haendi manake kesi za type ndoa hizo unazo zizungumzia ww zilikuwa nyingi.
Zaman watu walikubaliana na hali tu ila usaliti pande zote ulikua mkubwa sana sema utandawaz ndo haukuwepo . Ilikua mwanaume ukiletewa mtoto unalea tu hata Kama sio wako na wewe ukileta mama analea. Na heshima ilikuwepo sababu Babu zetu hawakuwa selfish Kama wanaume wa sasa hiv wanataka wao tu ndo wapige matukio🤣
 
Ndio maana ndoa hazidumu sababu ya mashindano,ndio maana nimemshangaa huyu aliyesema age gap ikiwa ndogo ndoa zinadumu.
 
Ndio maana ndoa hazidumu sababu ya mashindano,ndio maana nimemshangaa huyu aliyesema age gap ikiwa ndogo ndoa zinadumu.
Age gap zinadumu Sana, hapo mimeongelea zaman jinsi Babu zetu walijua kufichiana siri na kukubaliana na madhaifu ya pande zote.
Hata wao zaman walioana kwa gape ndogo tu na waliishi kwa busara Sana despite sasa hiv
 
Sasa hivi mashindano,ubinafsi,pesa imetawala huku utu na agape love havionekani,NDOA NI TAASISI YA KIROHO AMBAYO INA HALI MBAYA.

Mimi kipindi kile bi mkubwa alikuwa ananisimulia matatizo yaleyale mara mume ana nyumba ndogo,wangombania mali,mwanamke kamficha mmewe mali zake mshahara hauonekani,mume anapitia hali ngumu mke hamtaki nk,mpaka kuna mda nikamwambi bi mkubwa hasiwege ananisimulia kesi za huko kanisani,manake nilikiwa nahisi zinanitisha nisifikirie maisha ya ndoa.
 
Sasa hivi mashindano,ubinafsi,pesa imetawala huku utu na agape love havionekani,NDOA NI TAASISI YA KIROHO AMBAYO INA HALI MBAYA.

Mimi kipindi kile bi mkubwa alikuwa ananisimulia matatizo yaleyale mara mume ana nyumba ndogo,wangombania mali,mwanamke kamficha mmewe mali zake mshahara hauonekani,mume anapitia hali ngumu mke hamtaki nk,mpaka kuna mda nikamwambi bi mkubwa hasiwege ananiaumulia kesi za huko kanisani,manake nilikiwa nahisi zinanitisha nisifikirie maisha ya ndoa.
Wala visikutishe, Kuna ndoa tamuuu Sana tena nyingii, Muombe Mungu na muwe na hofu ya Mungu tu kila kitu kipo fresh.
Kikubwa Ni upendo tuuu
 
Kiukweli nyakati zimebadilika sana na mambo mengi katika dunia ikiwemo mitindo ya maisha yamebadilika sana.

Imani katika ndoa ile ya zamani ambayo waliamini ili ndoa ikae vizuri basi lazima mwanaume amzidi umri mwanamke anaemuoa kwa zaidi ya miaka 10 na kuendelea. Walikuwa sawa kulingana na nyakati zao. Maana wanawake kipindi hicho hakuwa na haki ya kuchagua waume wa kuwaoa na hata waume wengi waliolewa wake zao(wazazi wa wanaume ndio waliomchagulia kijana wao mke kutoka familia walioikubali wao). Kiwango cha heshima kwa wazazi kilikuwa kikubwa sana kupelekea hao wanandoa kutokuleteana shida sana kwenye ndoa zao maana wameunganishwa na wazazi. Matukio kwenye ndoa sio kwamba hayakuwepo bali uvumilivu ndio ulikuwa ngao pekee kubwa sana iloyopelekea mama/bibi zetu hao kutulia kwenye ndoa zao na hofu ya kuogopa kudhalilisha familia yao baada ya kuachana na mumewe.

Maisha ya leo yamekuwa na tofauti kubwa sana. Wanandoa wengi wamechagua wenyewe wakuoa au kuolewa nao. Kuwepo na machaguo ndio kumeleta tuyaone mengi, hata wanaume kuolewa na majimama imekuwa ni kawaida tu. Wengi hupenda kuoa au kuolewa na wale wanaowapenda ndio maana gape ya umri imekuwa ni ndogo sana average ni miaka 3. Hawa wamekutana katika sehemu zilizowaleta pamoja kama taasisi za elimu, kazi n.k wengi ndoa zao zimedumu kwa sababu tu ya upendo wa dhati na huu ndio ukaleta uvumilivu. Lakini ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wengi waliingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio mengi tofauti na waliyokutana nayo ndani yake tena baada ya muda mfupi matokeo mabaya yamekuwa yanatokea. Tofauti ndogo ya umri imewafanya washindwe kujicontrol na hekima ndogo ya vijana wengi wa kisasa imekuwa sio msaada katika familia hizo. Wanawake wengi wa kileo wanajiamini sana kwenye maisha hivyo wanaona hata wakiachana na mumewe maisha yataendelea tu kwasababu wanajua kutafuta na wengine ndoa sio kipaumbele kwao. Kwa kweli rate ya talaka ni kubwa ukilinganisha na zamani.
 
Mie nafikiri ni bora mpishane 2-3 years hata mitazamo inakuwa inakaribiana! Sasa mie kizazi cha Dr.Dre nikaoe mke kizazi cha Justin Bieber kweli si balaa! Nataka nikipiga old school wife anaelewa maana ngoma zinamkumbusha childhood memories.
 
Hii ndio shida ya kujadiliana maoni ya mtu badala ya tafiti/facts/evidence.

Hakuna tafiti katika eneo au swali hili? Mtoa mada, hebu tafuta utiletee kukazia hoja yako (vizuri una elimu nzuri pia)
 
Sasa hivi mashindano,ubinafsi,pesa imetawala huku utu na agape love havionekani,NDOA NI TAASISI YA KIROHO AMBAYO INA HALI MBAYA.

Mimi kipindi kile bi mkubwa alikuwa ananisimulia matatizo yaleyale mara mume ana nyumba ndogo,wangombania mali,mwanamke kamficha mmewe mali zake mshahara hauonekani,mume anapitia hali ngumu mke hamtaki nk,mpaka kuna mda nikamwambi bi mkubwa hasiwege ananisimulia kesi za huko kanisani,manake nilikiwa nahisi zinanitisha nisifikirie maisha ya ndoa.
Ulijifunza nini?
 
Ulijifunza nini?
Nilichojifunza hamna kuwahi wala kuchelewa ktk swala la ndoa cha msingi ni kuwa makini tunapotafuta wake.

Maongezi yalinijengea hofu tu ya kuoa,yaani kuna ndoa nyingine zipo zipo tu nje wana chekeana ndani wananuniana,wanalala vyumba tofauti.

Mimi wazee wangu ni wasuluhishi wa ndoa nyingi tu kuanzia mtaani mpaka kwenye familia.Nakumbuka hii ndio kali kipindi nipo O-Level 2005 wiki ile ya pasaka,mpwa wake baba alipigwa kisu za ubavu na mke wake,ila hakikuingia vizuri ubavuni,bahati nzuri tulikuwa tunakaa karibu.Kaja home pale shati limejaa damu,analia mzee na mimi tukamchukua hao hospital (mme wake hakutaka kupeleka kesi polisi).Cha ajabu baada ya kupona bado yupo na mkewe (yeye na mkewe hawakupishana miaka mingi).
 
Kiukweli nyakati zimebadilika sana na mambo mengi katika dunia ikiwemo mitindo ya maisha yamebadilika sana.

Imani katika ndoa ile ya zamani ambayo waliamini ili ndoa ikae vizuri basi lazima mwanaume amzidi umri mwanamke anaemuoa kwa zaidi ya miaka 10 na kuendelea. Walikuwa sawa kulingana na nyakati zao. Maana wanawake kipindi hicho hakuwa na haki ya kuchagua waume wa kuwaoa na hata waume wengi waliolewa wake zao(wazazi wa wanaume ndio waliomchagulia kijana wao mke kutoka familia walioikubali wao). Kiwango cha heshima kwa wazazi kilikuwa kikubwa sana kupelekea hao wanandoa kutokuleteana shida sana kwenye ndoa zao maana wameunganishwa na wazazi. Matukio kwenye ndoa sio kwamba hayakuwepo bali uvumilivu ndio ulikuwa ngao pekee kubwa sana iloyopelekea mama/bibi zetu hao kutulia kwenye ndoa zao na hofu ya kuogopa kudhalilisha familia yao baada ya kuachana na mumewe.

Maisha ya leo yamekuwa na tofauti kubwa sana. Wanandoa wengi wamechagua wenyewe wakuoa au kuolewa nao. Kuwepo na machaguo ndio kumeleta tuyaone mengi, hata wanaume kuolewa na majimama imekuwa ni kawaida tu. Wengi hupenda kuoa au kuolewa na wale wanaowapenda ndio maana gape ya umri imekuwa ni ndogo sana average ni miaka 3. Hawa wamekutana katika sehemu zilizowaleta pamoja kama taasisi za elimu, kazi n.k wengi ndoa zao zimedumu kwa sababu tu ya upendo wa dhati na huu ndio ukaleta uvumilivu. Lakini ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wengi waliingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio mengi tofauti na waliyokutana nayo ndani yake tena baada ya muda mfupi matokeo mabaya yamekuwa yanatokea. Tofauti ndogo ya umri imewafanya washindwe kujicontrol na hekima ndogo ya vijana wengi wa kisasa imekuwa sio msaada katika familia hizo. Wanawake wengi wa kileo wanajiamini sana kwenye maisha hivyo wanaona hata wakiachana na mumewe maisha yataendelea tu kwasababu wanajua kutafuta na wengine ndoa sio kipaumbele kwao. Kwa kweli rate ya talaka ni kubwa ukilinganisha na zamani.
Kosa lilifanyika ile nyakati ambapo mtoto wa kike aliachwa ajiamulie kuishi anavyojisikia. Mkutano wa Beijing ndio ulileta yote haya. Kimsingi mungu amemuumba mwanamke na roho ya uvumilivu wa hali ya juu na utiifu dhidi ya mamlaka.

Mamlaka kuu ya mtoto wa kike ni mwanaume, anzia chief, babu, baba mpaka mume! Hii ni hierachy ya mamlaka iliokuwepo tangu enzi na ililenga kutengeneza jamii yenye nidhamu na sio oppression kama ambavyo ilitafsiriwa.

Ofcourse hamna mfumo usio na faults ila huu mfumo ulionesha ku work efficently kwa asilimia kubwa sana kwa ku enforce wanawake kuwa submissive. Malalamiko yalikuwepo kwa wanaume waliokuwa wanazingua ila kulikuwa na namna ya kuya address.

Sasa baada ya kuja mambo ya gender balance ndio ikapelekea zile mila kutafsiriwa kama mfumo dume. Kwamba mke anatakiwa apewe nafasi ya kujiamulia atakalo na kuwa self reliable badala ya kuwa submissive kwa mwanaume. Hii ikiwa ni sehemu ya ku exercise haki zake za kijinsia kama ilivyo kwa mume.

Ndipo mwanamke akapewa mamlaka ya kushika madaraka na uchumi...The worst mistake to ever be done in this world. Mwanamke anachokifanya since then ni kushindana na mwanaume ikiwezekana kumu oppress kabisa akipata nafasi hio saa nyingine hata kwa kutumia sheria zile zile kwamba anaonewa ilihali yeye ndie anamkomoa mume.

Hii sumu imesambaa kwa vizazi kadhaa toka ilipoidhinishwa ila mpaka kufikia leo hii matokeo tunayaona. Ndoa zimekuwa hazidumu sababu mwanamke haoni sababu ya kuwa mvumilivu kusuluhisha migogoro ilio sehemu ya maisha katika ndoa. Sababu yuko free kujiamulia lolote atakalo ni ngumu kutii mamlaka ya mume endapo haoni ndoa ina favour matakwa yake. Especially kuishi maisha kama yuko single, achepuke anavyotaka afanye anayojiskia hata kama yanakarahisha na kukuondolea amani mumewe.

Kubwa kabisa, mwanamke kumiliki madaraka na uchumi. Hapo ndio balaa kabisa. Wote tunaenda kazini sasa kwanini anibabaishe. Hii ndio akili walionayo watoto wa kike 70% ambao baadhi wameolewa na wengine wanatarajia kuolewa. Ukimwambia basi acha kazi uhudumie familia pia ni ugomvi mkubwa 🤣🤣🤣 unaambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje? Ndoa haiwezi kudumu pasipo na nidhamu na nidhamu ili iwepo lazma kuwe na mamlaka iliosimama ambayo ni mwanamume...Guess what?

Tafsiri ya mamlaka imegeuzwa tena na utandawazi kuwa sio mwanaume per se ila ni mwanaume mwenye hela!!! Kwa hali iliopo sasa mwanaume mwenye uwezo wa ku satisfy fantasies za mwanamke zaidi ndie mtu pekee ambaye wanamtafsiri kama anayestahili heshima. Wonders never cease!!!

Ndio maana kila baada ya kisa cha mahusiano kinachokuja jf moja ya suluhu utaskia "Tafuta hela mkuu!"
 
Back
Top Bottom