Kwanini ndege uendeshwa na marubani 2

karugila

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,275
683
Nimekuwa nikifuatilia ndege za abiria utakuta zinaendeshwa na marubani 2 .ni kwann ? Je dereva mmoja akifa njiani yaani angani je mmoja awezi ongoza ndege? Na kwann usikani wa ndege ni wavipande sio wa mzunguko kama wa gari?
 
Umeuliza swali zuri sana, mimi sio mtaalamu wa mambo ya ndege ila kwa uelewa tuu wa kawaida, dereva wa lori akijisikia vibaya atakachofanya ni kupaki pembeni kuwasha hazard, halafu atapata msaada tuu kwa namna moja au nyingine. Sasa mfano huu tukiupeleka kwenye ndege kwa kweli rubani angekua mmoja halafu akapata tatizo ina maana haina ndo kwaheri. Natumai nimejibu hoja moja kati ya nyingi ulizouliza.
 
Mara nyingi chombo cha moto chenye tairi moja mbele huwa hawaweki uskani wa raudi kwaajili ya Balance

Assume rubani ameshikwa na tumbo la kuhara alafu yupo mwenyewe,
pia huwa kuna vitu wanasaidiana mwingine anaangalia mbele kwa kutumia darubini kujua nini kinafata.
 
Kwahiyo bajaji ni chombo cha baridi sio?....bado hoja yako ya usukani wa ndege na chombo cha moto chenye tairi moja mbele haina mashiko...
 
Issue ya marubani wawili ni kwa ajili ya kusaidiana...mmoja anafanya mawasiliano na vyombo vya kuongozea ndege vilivyoko chini na mwingine anaendesha ndege....pia in case of emergency rubani mmoja anatumika kuishusha ndege kwenye nearest port possible kuokoa abiria na chombo.
 
infact mandege makubwa ni more than wawili ni utaratibu wa kiusalama na mambo mengine kama yamawasiliano
 
Nimekuwa nikifuatilia ndege za abiria utakuta zinaendeshwa na marubani 2 .ni kwann ? Je dereva mmoja akifa njiani yaani angani je mmoja awezi ongoza ndege? Na kwann usikani wa ndege ni wavipande sio wa mzunguko kama wa gari?
1. Usalama. Ikimaanisha pilot flying and pilot monitoring.
2. Usaidizi. Huwa wanapokezana haswa kwa safari za mbali masaa mengi.
3. Kuna vitu vingi vya kufanya wakati wa kuendesha ndege. Pilot flying yeye ana deal na kuongoza ndege. Pilot mwenzake anafanya mawasiliano na ATC. NA kunyanyua ama KUSHUSHA miguu ama gurudumu za ngege.
4. Ndege haina usukani. Unachokisemea kinaitwa control wheel ama York ama joy stick ambacho kazi yake ni kuendesha vifaa vilivo nje ya ngege kuweza kuruka juu ama chini. Pitch up pitch down. Kulaza upande kushoto ama kulia. Maneuvering!
Dah. Ni mengi mno wino unaisha.
 
Asante sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom