Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,631
- 20,966
Tujiulize kwa nini wenzetu huko ngambo serekali zao hujenga nyumba nyingi kadri iwezavyo mpaka nyingine hukosa wapangaji, huku zikiwa na kodi ndogo mno ya pango ambayo hupangwa kwa maksudi ili kila mwenye kazi na anayelipwa mshahara wa ngazi yoyote huweza kulipa kulingana na ukubwa wa kanyumba kenyewe.
Wenzetu hawa walipata athari miaka mingi mno iliyopita, serekali zao huamini kuimiliki nyumba hupumbaza utendaji kazi za akili za binadamu kwa parcentage fulani. hupunguza utendaji, kasi ya kufikiri hupungua.
I dont think if it true.