Kwanini nchi za Congo DRC, Rwanda na Burundi zilitwaliwana Belgium lakini zinazungumza French badala ya Belgian?

Belgium imepakana kasikazini na Uhoranzi(Dutch Hollande), kasikazini Mashariki wamepakana Na Germany(Dutch Germany), Upande wote wa Kusini na Kusini Mashariki Belgium imepakana na Ufaransa(France).Kwahiyo Belgium ina lugha mbili kuu za nchi(Kifaransa 70% na Dutch/Flanders kama 30%), ndio maana Makoloni ya Belgium yanaongea Kifaransa na Pia yana Urafiki na Uberigiji na Ufaransa mwenye lugha yake. Nimejaribu.
 
Nashukuru kwa majibu mazuri
 
Uko sahihi. Pia Austria wanatumia lugha ya Kijerumani kama lugha rasmi kwa kuwa hawana lugha yao wenyewe. Walikuwa koloni la ujerumani. Ni kama zilivyo Georgia na Ukraine wanavyoongea Kirusi.
Belgium yenyewe lilikuwa koloni LA wafaransa, belgium hawana lugha yao official
 
Wadau swali hapo juu linajitosheleza.
Wenye kujua sababu tafadhali mtiririke.
... hivi ni kwanini taifa kubwa la Marekani huongea Kiingereza badala ya Kimarekani? Au taifa kubwa kama Brazil huongea Kireno badala ya Kibrazil? Au Austria kuongea Kijerumani badala ya Kiaustria? Au Bara la Australia kuongea Kiingereza badala ya Kiaustralia? Au taifa lenye uchumi mkubwa kama Canada kuongea Kiingereza na Kifaransa badala ya Kicanada? Au Misri kuongea Kiarabu badala ya Kimisri? Ijue historia itakusaidia!
 
Belgium imepakana kasikazini na Uhoranzi(Dutch Hollande), kasikazini Mashariki wamepakana Na Germany(Dutch Germany), Upande wote wa Kusini na Kusini Mashariki Belgium imepakana na Ufaransa(France).Kwahiyo Belgium ina lugha mbili kuu za nchi(Kifaransa 70% na Dutch/Flanders kama 30%), ndio maana Makoloni ya Belgium yanaongea Kifaransa na Pia yana Urafiki na Uberigiji na Ufaransa mwenye lugha yake. Nimejaribu.
.
 
Umenivumbua, asante sana
 
Uko sahihi matamshi kidogo ya kifaransa cha ubergiji na ufaransa yanapishana kidogo ila maandishi ni yalayale .
Mfano '' de '' ufaransa inasomwa 'de'
ila ubergiji inatamkwa '' do ''
N.B '' de '' kwa kingereza ni ' préposition ' of '
 
Back
Top Bottom