Kwanini nchi za Afrika ikiwemo Tanzania bado maskini licha ya kupokea Misaada na Mikopo ya mamilioni ya Fedha kutoka nchi zilizoendelea? - Part I

Mbona povu sana?
1. Ktk raisi aliyekopa sana ni Magu
2. Ajira rasmi na fursa za kiuchumi (biashara) ndizo zinazofanya nchi ipate kodi na nchi kuwa na uchumi. Madini, mbuga za wanyama hiyo acha pembeni.
Ukishindwa kuajiri na kutengeneza fursa matokeo yake
1. utataka mpk mama anayeuza vitumbua alipie kodi
2. Tozo zimekuwa nyingi, unanunua umeme ulipe na pango ya mwenye nyumba.
3. Watu wasiokuwa na ajira wamekuwa wengi sana. Sasa hivi phd, degree hazina thamani tena.
Ktk maraisi ambao hawakupaswa kuongoza nchi ni Magu, alilijua hilo ndiyo maana aliondoka mapema.
Raisi anatakiwa atumie akili nyingi + katiba + sheria kuliko nguvu.
Najua sote tutakufa ila vifo vingine ni faida. Anakufa mtu unaenda kujipongeza kwanza.

1) hujajibu swali, nmekuuliza biden deni lake ni kiasi gani na yule mchina uliekua unamuona mbaya amemkopesha biden au hajakopa?
- kuna uwezekano hujui unachoongea,na hakuna report ya BOT yoyote uliosoma! nakupa daraasa kuna aina mbili ya madeni, kuna domestic dept na kuna international dept, Domestic dept ni deni la (ndan) ama deni la siasa its always 0 japokua hua linahesabiwa, toka magu ameongoza amechukua mikopo world bank na IMF mara ngap? jumlisha yote aliekopa international, hajawahi kufikisha hata $1B, magu alikua anakopa benki moja inaitwa EXIM TANZANIA, ni benki ya china ilio chini ya BOT, domestic dept hua ni siasa na serikali inaweza kulipa hilo deni mda wowote inapotaka, kwa kua akili lako halina kitu ndan hayo yamekutosha!

2) same same stupid head! uchumi haujengwi kwa kodi zako na ela zako unajengwa kwa values na umuhimu ulionao katika nchi au in simple words (PRODUCTIVITY), kama ungekua unaparticipate katika uchumi wa dunia then your worth goes up and the country goes up also, cha muhimu PRODUCTIVITY, or what you provide for others thats unique and needed, izo zingine unazoongea ni kukuonea huruma tu! uchumi wa tanzania unahesabika in responce to international outputs, mfano mauzo ya vyakula nje, korosho, services, hata izo mbuga za wanyama ndo determinant wa uchumi wa tanzania, izo zingine znazohusu ndan zote ni siasa as serikali ina mamlaka yote ya uchumi mikononi mwake, inaweza kuamua leo kuchapisha pesa mpya na ikaamua kulipa madeni yote ya ndan kama FEDERAL RESERVE inavofanya ya marekani, kama hujaelewa mpaka apo shule inakuhusu, utakua ndo wale wazazi waliouza ngombe kupeleka ngombe ingine shule

1) kila mtu anatakiwa kulipa kodi, mazoea yako yako sio sheria kila mtu anapaswa kulipa kodi
2) hio tozo ya luku kwan ni mpya? kwani hujawahi kulipa kodi ya jengo? si imetolewa tu kutoka kulipa kwa cash imehamishiwa kwenye luku but ni pesa ile ile
3) sasa una PHD alafu maisha yanakupiga chenga ulienda kufanya nn shule? ngombe ilienda shule ama? hawa la saba walikuacha uende kwenye phd wao wakawa matajiri, huoni ndo ngombe nliekua namuongelea

-- Magu kuongoza hilo libaki kwako, kama unaona uongozi ni rahisi chukua fomu tukuone utakavoendesha nchi
 
Back
Top Bottom