Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuiita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina yake ya Kiingereza? (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Kongo, Komoro)

MAELEZO MACHACHE KUHUSIANA NA NDUGU ZETU WA MSUMBIJI

===========

Mozambique officially the Republic of Mozambique is a country located in Southern Africa bordered by the Indian Ocean to the east, Tanzania to the north, Malawi and Zambia to the northwest, Zimbabwe to the west, and Eswatini (Swaziland) and South Africa to the southwest.

The only official language of Mozambique is Portuguese, which is spoken mostly as a second language by about half the population. Common native languages include Makhuwa, Sena, and Swahili. The country's population of around 29 million is composed of overwhelmingly Bantu people. The largest religion in Mozambique is Christianity, with significant minorities following Islam and African traditional religions.

Mozambique is a member of the United Nations, the African Union, the Commonwealth of Nations, the Organisation of the Islamic Cooperation, the Community of Portuguese Language Countries, the Non-Aligned Movement, the Southern African Development Community, and is an observer at La Francophonie.

Why did it come from Mozambique to Msumbiji? Nini asili ya jina hili?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Tafsiri kuu zimetokana na historia ya maeneo au utofauti wa rasilimali. Mfano, Seychelles kuwa Ushelisheli ni muktadha wa eneo kuwa na Shells 🐚

Uswidi, Ufini, Uswissi, Uyunani ni matokeo ya mfumo wa kiutawala, asili ya watu, na historia. Ufini ni kama nchi ya waFini au himaya ya Fini.
 
Back
Top Bottom