Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuiita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina yake ya Kiingereza? (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Kongo, Komoro)

MAELEZO MACHACHE KUHUSIANA NA NDUGU ZETU WA MSUMBIJI

===========

Mozambique officially the Republic of Mozambique is a country located in Southern Africa bordered by the Indian Ocean to the east, Tanzania to the north, Malawi and Zambia to the northwest, Zimbabwe to the west, and Eswatini (Swaziland) and South Africa to the southwest.

The sovereign state is separated from the Comoros, Mayotte and Madagascar by the Mozambique Channel to the east. The capital and largest city of Mozambique is Maputo (formerly known as "Lourenço Marques" from 1876 to 1976).

The only official language of Mozambique is Portuguese, which is spoken mostly as a second language by about half the population. Common native languages include Makhuwa, Sena, and Swahili. The country's population of around 29 million is composed of overwhelmingly Bantu people. The largest religion in Mozambique is Christianity, with significant minorities following Islam and African traditional religions.

Mozambique is a member of the United Nations, the African Union, the Commonwealth of Nations, the Organisation of the Islamic Cooperation, the Community of Portuguese Language Countries, the Non-Aligned Movement, the Southern African Development Community, and is an observer at La Francophonie.

Why did it come from Mozambique to Msumbiji? Nini asili ya jina hili?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Egypt kuitwa Misri
 
Wait... hizo nchi zingine ambao ni majirani zetu ni kwamba zina majirani ya Kiingereza au labda majina yametolewa na Wakoloni au yalistawi zama za ukoloni baada ya jamii mbalimbali kuwekwa kwenye pande moja la ardhi lililoitwa nchi, na kisha majina husika yakaanza kutumika?!

Anyway, jibu fupi ni kwamba nchi ZOTE ambazo ni majirani zetu, kama nchi husika ina jina la Kizungu basi ama tulibadilisha na kuleta jina la Kibantu au tulitohoa kutoka kwenye uzungu hadi kwenye Uswahili!

Kwa haraka haraka, naona majina yote ya hizo nchi ulizosema "nyingine" zenyewe zina majina ya Kibantu au yenye origini ya Kibantu na kwahiyo hatukuwa na sababu ya kubadilisha!

Kenya kwa mfano.., the word sounds like a Bantu Word! Uganda bila shaka linatokana na Buganda, Baganda or anything like that! Na yenyewe ni ya Kibantu! The same to Burundi, Rwanda, Zambia, Zimbabwe!!!

Tusisahau, Zambia ilikuwa ni Northen Rhodesia (kama sikosei coz' am not an historian guy) lakini baadae wakabadilisha na kuwa Zambia! Hiyo inaonesha wazi wenyewe waliachana na jina la Kizungu na kutumia la Kibantu ambalo hatukuwa na sababu ya kubadilisha manake hata mzee asiye na meno anaweza kutamka Zambia!

Kinyume chake, hata kama sifahamu KIreno bado nasikia harufu harufu za Ureno kwenye neno Mozambique! Iistoshe, HATUNA herufi Q kwenye Kiswahili! Na kwa maana hiyo, tulikuwa na kila sababu ya kuachana na neno la Kizungu na kuja na la kwetu wenyewe lenye taste ya Kibantu!!

Lakini pale tuliposhindwa kupata jina linaloendana na lugha yetu kama tulivyofanya kutoka Mozambique to Msumbiji, basi tulitohoa!! Kwa mfano, hautuiti Comoro bali Ngazija au Komoro!

Hatuiti Democratic Republic of Congo bali Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo! Enzi za Mobout, hatukulazimika kutohoa wala kutafuta jina la Kiswahili/Kibantu kwa sababu Zaire lenyewe tayari lilishakuwa jina la Kibantu!!
 
Wait... hizo nchi zingine ambao ni majirani zetu ni kwamba zina majirani ya Kiingereza au labda majina yametolewa na Wakoloni au yalistawi zama za ukoloni baada ya jamii mbalimbali kuwekwa kwenye pande moja la ardhi lililoitwa nchi, na kisha majina husika yakaanza kutumika?!

Anyway, jibu fupi ni kwamba nchi ZOTE ambazo ni majirani zetu, kama nchi husika ina jina la Kizungu basi ama tulibadilisha na kuleta jina la Kibantu au tulitohoa kutoka kwenye uzungu hadi kwenye Uswahili!

Kwa haraka haraka, naona majina yote ya hizo nchi ulizosema "nyingine" zenyewe zina majina ya Kibantu au yenye origini ya Kibantu na kwahiyo hatukuwa na sababu ya kubadilisha!

Kenya kwa mfano.., the word sounds like a Bantu Word! Uganda bila shaka linatokana na Buganda, Baganda or anything like that! Na yenyewe ni ya Kibantu! The same to Burundi, Rwanda, Zambia, Zimbabwe!!!

Tusisahau, Zambia ilikuwa ni Northen Rhodesia (kama sikosei coz' am not an historian guy) lakini baadae wakabadilisha na kuwa Zambia! Hiyo inaonesha wazi wenyewe waliachana na jina la Kizungu na kutumia la Kibantu ambalo hatukuwa na sababu ya kubadilisha manake hata mzee asiye na meno anaweza kutamka Zambia!
Okay...
 
Hata wao hawaiiti msumbiji wala mozambique, nchi yao inaitwa Moçambica (inatamkwa mosanbiki).

Kwahiyi hata hilo jina la kiingereza sio lao, point yangu ni kwamba hiyo ni kawaida kabisa. Baadhi ya lugha hamua kubadili majina ya nchi / watu na kuvipa majina ya lugha zao.

Mifano mingine ni Deutschland (Germany), España (Spain), Italia (Italy), La France (France), Misr (Egypt) n.k

Mifano ya majina ya watu, Job (Ayubu), Noah (Nuhu), Yeshua (Jesus / Yesu) n.k
 
Hata wao hawaiiti msumbiji wala mozambique, nchi yao inaitwa Moçambica (inatamkwa mosanbiki).

Kwahiyi hata hilo jina la kiingereza sio lao, point yangu ni kwamba hiyo ni kawaida kabisa.
Tanzania ni nchi inayotumia kiingereza kama moja kati ya lugha mbili rasmi ndio maana nikafanya reference katika hilo...
 
Tanzania ni nchi inayotumia kiingereza kama moja kati ya lugha mbili rasmi ndio maana nikafanya reference katika hilo...
Ni kweli, lakini hatujatafsiri jina la msumbiji peke yake. Italia, uingereza, marekani, urusi, afrika ya kusini n.k yote ni majina ya kiswahili.

Kwakua watanzania wengi wa kawaida lugha yao ya kwanza ni ama kiswahili au lugha ya kabila lake, inaleta maana zaidi kwa majina hayo ya kiswahili kuwa maarufu zaidi.

Lakini ukienda kwenye nyaraka zilizoandikwa kwa kiingereza haotokuta hayo majina ya kiswahili.

Kwahiyo kila jina linatumika kwenye mazingira sahihi kwa lugha sahihi.
 
Baadhi ya lugha hamua kubadili majina ya nchi / watu na kuvipa majina ya lugha zao.

Mifano mingine ni Deutschland (Germany), España (Spain), Italia (Italy), La France (France), Misr (Egypt) n.k

Mifano ya majina ya watu, Job (Ayubu), Noah (Nuhu), Yeshua (Jesus / Yesu) n.k
Sawa
 
Back
Top Bottom