Kwanini Nchi ya Ethiopia haikutawaliwa na Wakoloni?

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
7c2fe9bd81a6c8f9bd72b770f638bec0.jpg

Zipo sababu nyingi zitolewazo katika somo la historia kuhusu Ethiopia na Ukoloni lakini haziwekwi bayana.

Lakini ukweli ni kwamba wakati ule Ethiopia ni nchi ya kikristo na lengo kuu ni kuziteka nchi za kiislaam na kueneza ukristo.

Askofu Yohana Lucas Wavera na wenzake wa jimbo la Mbeya katika kitabu chao "historia ya kanisa" anafafanua siri hii katika kile alichokiiti "Mission na Ukoloni"

Hali hiyo iligeuka kuwa tofauti baada ya mabadiliko ya kisiasa mwaka 1885 Serikali za Ulaya ziligawanya Africa kati yao.

Kipindi kipya cha Ukoloni kilianza sehemu zote za Africa ziliwekwa chini ya utawala wa kikoloni isipokuwa Ufalme wa kikristo wa Ethiopia uliojitetea dhidi ya waitalia na Liberia iliyokuwa chini ya ulinzi wa Marekani.

Chanzo :historia ya kanisa uk 55 Motheco Publications.
 
Hujui historia halafu unaleta uchochezi wa kidini firauni mkubwa
Bado hujui maana ya uchochezi.

Na ikiwa kama unavyothania je huyo askofu Yohana Lucas Wavera utamuita nani!?

Ww kama unajua lete thread yako hiyo ya ukweli.
 
Nani hajui historia kati ya Askofu Yohana Lucas Wavera na wenzake wa jimbo la Mbeya walioandika kitabu chao "Historia ya kanisa" na huyu aliyeleta yaliyoandikwa na huyo Askofu na wenzake?
 
so what achana na mambo ya miaka 150 iliyopita,angalia ya mbele ndugu muda unakwenda
 
Back
Top Bottom