Kwanini nchi maskini kama tanzania inapoteza raslimali nyingi kwa tafrija? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini nchi maskini kama tanzania inapoteza raslimali nyingi kwa tafrija?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Jan 19, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Rais wa China yuko Marekani kwa ziara rasmi na jioni hii rais Obama atamwandalia dhifa ya kitaifa, hii itakuwa ni mara yake ya tatu tangu aingie madarakani kufanya hivyo. Viongozi wengine wote wanaofanya ziara rasmi Marekani kwa kawaida anawaandalia cha kawaida "working lunch". Kwetu hapa kila kiongozi wa nchi anayefanya ziara rasmi hapa nchini uandaliwa dhifa ya kitaifa; hivyo kwa mwaka mmoja uandaliwa dhifa nyingi za kitaifa. Tunashindwa nini kujifunza kutoka kwa wenzetu juu ya matumizi mazuri ya raslimali ya nchi.
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hakuna vipaumbele sahihi vya jinsi ya kutumia rasilimali na viongozi wetu hawana uchungu nazo wala wa wananchi wao,ndo maan kila mmoja anafanya kufurahisha nafsi yake.....Nakumbuka baada ya kupita kwa katiba mpya Kenya Makamu wa Rais alifanya tafrija,kwenye bunge lililofuata wabunge wakahoji umuhimu wa tafrija na hela zilizotumika zilitoka wapi???Hapo Kenya,sasa nchi hii watu hawako accountable na matumizi ya hela,very few people have guts to ask,ndo maana wataendelea kufanya hayo,pengine KATIBA mpya itakuja na solutions..........:A S 39:
   
Loading...