Kwanini nawachukia wanaume?

na mkikutana na wanaume 'wema' muwaheshimu na kuwathamini.....
mjifunze........
wanaume wema wapo pia...
 
Si wanaume wote ni wabaya,ila hata wabaya hawana alama.Jaribu kumtafuta mmoja wapo kati ya ulonao umkalishe kitako asiwe anakupeleka kwenda kukutana na kitanda bali akukutanishe na mamaye mzazi.Hili laweza kufungua ukurasa mpya na tafsiri nzuri ya mapenzi kwako.
 
Bi Mcharuko:

Hii post imenifanya nitoke mafichoni kwa muda!

Wanawake wengi (hasa ambao wazazi wametegana au wamefariki) wamepitia katika njia hii na mwisho wa siku wamefanikiwa na wametoka!

Usikate tamaa - ila nakushauri kama umefikia kiwango cha kwenda chuoni basi punguza idadi ya wanaume - au kuwa na mmoja ambaye anaweza kukusaidi all the way up..

Pole sana once again!

Narudi shambani!
 
unahitaji msaada wa kisaikolojia.

Back to the topic baadhi ya wanaume ni kama wanyama hawana utu. Ila bora ungeomba msaada kwa marafiki wa mama yako,
Marafiki wa mama wengi ni kina mama wa nyumbani
hakuwa na marafiki ambao wanajimudu sana kiuchumi
kama hao wawili ambao walikuwa ni wakubwa zaidi mmoja
huwa anachoma vitumbua na mwingine huwa anakopesha
sabuni!
 
Samahani kwa hili swali wazazi awakuacha mali yoyote ambayo ingeweza kukusahidia kama ingeuzwa na apakuwepo na ndugu wa kuweza kukufadhili upande wa baba au mama yako.wanaume ni watu wazuri sana kama he has a GOD fear.n
Ndugu wa mama wengi wako Kigoma ndg wa baba wengi walinikwepa
Tayari kuna mchumba alijitokeza na wao ndio waliokuwa wananishawishi
kwa kiasi kikubwa niolewe mmoja tu ndo alikuwa anajitahidi kunisaidia
lakini biashara yake ni ndogo na mwenyewe pia ni mdogo kwani ni wa mwisho wao kina
baba. Hata hivyo msaada wake haukuwa mkubwa kulingana na hali yake
kiuchumi. Baba aliacha nyumba ambayo nivyumba viwili tu ndo vilikuwa
vimekamilika.
 
Haya mama soma shule itakutoa....ila unatakiwa uache sasa hiyo kazi
Nimeacha, kuna kipindi nilifanya Field sehemu fulani nilimweleza yule
mama mkurugenzi wa pale mambo ninayokabiliana nayo katika maisha
alilia sana. Akajitahidi kunifanyia mpango ambao umenisaidia mpaka sasa
kuachana kabisa na biashara hiyo. Hivi ninavyozungumza ninasimamia
biashar a za huyo mama!
 
mpenzi pole saana! nimejiskia vibaya kusoma post yako fuata ushauri hapo juu,mungu ni mwema na anatupenda wote! pole sana mpenzi!
 
Aisee!

Mungu ninusuru niwe hai mpaka mabinti zangu wajitegemee!

Inauma sana aisee!

Nakuunga mkono Mcharuko....... Tuchukie mpaka tukome ila mwisho utusamehe ili Mungu apate kukusamehe pia.

Wanaume wenzangu tuweni na Mioyo ya Huruma na Ya Kibinadamu.

Nimeimaliza siku yangu kwa Huzuni sana!
 
Pole sana kwa maisha magumu/machungu uliyopitia
1.futa hasira na chuki uliyonayo moyoni kuhusu hao wanaume
2.jaribu kusahau mambo uliyoyafanya zamani
3.umefanikiwa kwenda chuo tafuta kazi nyingine achana na hiyo unayofanya (uchangudoa)
4.mshirikishe muumba wako akusaidi uweze kujitambua na kuishi maisha uliyokuwa unayatamani

Naanimi ukijiamini/kuachana na yote utafanikiwa na mwisho wa yote hao wanaume unaowachukia utampata mmojawapo atakayekupenda/kukuoendolea upukwe na machungu yanayokupelekea kufanya yote unayofanya.



Tatizo sitamani tena kuwa na mwanaume, sina uhakika kwa siku
za mbele lakini nahisi kuwa ni jambo ambalo limefutika katika akili
yangu! Nasikia aibu na ndo maana kabla ya kupost hii thread
nimeamua kufungua ID mpya kwanza kwani ile ya kwanza kuna
watu wananifahamu!
 
Pole sana my dear, its so sad and painful story! mgeukie Mungu tu ndo suluhisho lako NI BABA WA HURUMA ATAKUPONYA VIDONDA VYAKO ANAKUPENDA HATA SASA NA ANAKUITA KWA JINA LAKO MGEUKIE! Atayabadilisha maisha yako na kuushangza ulimwengu utasahau taabu zako! Men are strange creatures in this world tho very helpful we just need to be very careful especially when they express their needs to us, our response can cost or benefit us, we should stop following men for material staffs they will keep on hurting us! As for now I advice you focus na shule Mungu atakuwezesha utapata maisha mazuri na utasonga mbele! Pole sana sana na Mungu akuwezeshe kutoka huko uliko I should advice you to stop hiyo Business ya uchangudoa as soon as possible focus kuandaa your bringt and shining future kwani Mungu wetu anaweza yote!
 
Mcharuko pole saana Mpenzi na hii story ulotoa hapa.... INASIKITISHA kwa kweli. Pole saana. However Men are funny creatures... Mwanaume yeyote yule haaminiki dear.. wapo exceptions ambao waweza kua waaminifu but majority wako hivo.. in other words ina maana it is better woote uwachukulie wako hivo ili ujue jinsi ya kuwa-handle. Wanaume awe babako, awe Mjombako, awe babuyo, awe kakako, awe binamu.. woote hao wana possibility kubwa ya kukulala wewe.... it is a sad fact but true.

Back to you.... Wee ni more of a psychological problem. inaonesha you enjoy sex, ila tu kuwaamini ndo kero kwako, kumuamini mmoja wao akawa your shoulder ndio inakua shida... However you should know kua as much as they are funny creatures wana umuhimu saana katika maisha yetu in one way or another... Na the good thing ni kua you and only you have the power ya kuamua ni jinsi gani wakutreat... you want them to treat you like shit; they will treat you like shit! You want them to treat you like a hooker: they will treat you like a hooker! You want them to treat you like a queen; they will treat you like a queen! In short you just have to study em' know the type of guy you like... And stick to him.

Note that sio kazi ndogo kujitune uweze wapenda... But jaribu dear for ni muhim. Best of Luck.

Pamoja Saana
ADI.
Shem hili sredi limeniumiza sana........

Ila inapofika hatua wanaume tunataka tunachokihitaji kwa kutumia matatizo yanayomkabili mwanamke......... hili saa nyingine linakuwa beyond control ya mwanamke aliye katika mazingira aliyokuwa nayo mcharuko (damn, hili jina linazidi kumfanya huyu binti aendelee na micharuko kwa kuwa kisaikolojia ameshaamini kuwa yeye ni mcharuko)

Mungu atunusuru, ngoja nikapige valuu!!!
 
Maisha ni milima na mabonde - wako wanadamu ambao kwa nje ni wanadamu lakini mioyo yao ya ndani ni wanyama wakatili sana.
Pole sana - ila nakushauri uachane na maisha ya uchangudoa au kujiuza. Mwombe Mungu akusamehe - akupe mwanzo mpya na maisha yako yatabadilika. Kumbuka ukimtegemea Mungu - YEYE ANAWEZA KUMWINUA MNYONGE TOKA MAVUMBINI - MHITAJI TOKA JALALANI na KUMKETISHA PAMOJA NA WAKUU.

TAFADHALI - UPENDE NA UHESHIMU MWILI WAKO - USIENDEKEZE HAO WANAUME WALIOKUDHALILISHA - MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI - UTAONA KWA MACHO YAKO MUNGU AKIWAADHIBU - ILA - JITAHIDI KUBADILIKA - WAKO WENGI DUNIANI HAPA WALIOFANYIWA UNYAMA WA KUTISHA NA BAADHI YA WANAUME (SIO WOTE NI WABAYA) HIVYO USIKATE TAMAA

MUNGU AKUFARIJI, AKUTUNZE NA KUPONYA MAJERAHA MOYONI MWAKO - AMEN
 
Pole sana kitu cha msingi nachoweza kukushauri ni kwanza kumshukuru Mungu mpaka hapo ulipofikia maana sio kazi ndogo naweza kusema na mambo utakayokuwa uliyapitia, muombe Mungu akusamehe kwa yale yote uliyoyatenda na pia kuomba akusaidie mbeleni ili uweze kufanikiwa katika kila jambo, kitu kingine wanaume baadhi yao sio wote ndio wenye kufanya wanaume wote tuonekane matendo yetu yanafanana wakati sio kweli.

Endelea kuomba uwepo wa Mungu karibu na katika maombi kila siku na utashangaa mwenyewe iko siku utafungua moyo wako na kukutana na mwanaume ambaye atakupenda na wewe utampenda pia, hauwezi kujua unaweza kukutana na Finest anakatiza mitaa ya CBE mkapendana nae....lol kiddin.

Once again pole kwa matatizo na Mungu azidi kukuonyesha njia ili uweze kufanikkiwa zaidi na zaidi
 
Mcharuko popote pale ulipo,

Mimi ODM nakusihi na kukuomba uwe na moyo wa msamaha.

Tusamehe sie wanaume mabaradhuli.

Wakati mwingine huwa tunaacha ubaradhuli na kuwa binadamu kama malaika.

Waweza kujuta kutuchukia ukikutana na mmoja wetu atakayekuthibitishia kuwa si wote ni wanyama kama hiyo mingumbaru iliyokutendea unyama. (hapo nimeyatukana mitusi ya nguoni na vinyeo vyao viwawashe mpaka waje wakuombe radhi.........maaanina zao)
 
Mcharuko popote pale ulipo,

Mimi ODM nakusihi na kukuomba uwe na moyo wa msamaha.

Tusamehe sie wanaume mabaradhuli.

Wakati mwingine huwa tunaacha ubaradhuli na kuwa binadamu kama malaika.

Waweza kujuta kutuchukia ukikutana na mmoja wetu atakayekuthibitishia kuwa si wote ni wanyama kama hiyo mingumbaru iliyokutendea unyama. (hapo nimeyatukana mitusi ya nguoni na vinyeo vyao viwawashe mpaka waje wakuombe radhi.........maaanina zao)

mhhhhh!!...babu taratibu hapo.............
 
Mcharuko,

Pole sana my dear, ila kama usemavyo umeacha hiyo kazi ni Jambo jema na la kushukuru sana.

Cha muhimu hapa kwa sasa usifikirie sana hayo ya zamani (ni ngumu ila inawezekana), tambua ya kuwa binadamu wengi sana wana historia za ajabu sana ila mwisho wa siku kilicho na muhimu ni kile ufanyacho kwa kipindi husika. Hao rafiki wa baba yako ni viumbe walio katikati ya bianadamu na nyani sio watu kamili ukiendelea kuumiza kichwa chako kufikiria upuuzi wao utakuwa unajiweka karibu na wao kiakili, wasahau kabisa na wafute akilini, amini inawezekana na utaweza ukiamua.

Ukiwa mtu huru na unaefurahia unachokifanya kwa sasa hivi dhana ya kuchukia wanaume itakutoka tu na utaishi kwa amani sana tu, kwann kwanza uchukie wanaume jamani? Kwanini usichukie hao rafiki wa baba yako ambao hata sio wengi ni wa 5 tu ni rahisi kuwachukia hao kuliko kuchukia nusu ya dunia, unaionaje?

Kuwa karibu na Mungu wako kwa namna yoyote ile utaona ambavyo utakuwa huru.

Tunategemea next time utakuja na Post ingine ikionesha ulivyofanikiwa kugeuka moyoni na ukiwa na jina jipya (Nuru mpya au imani mpya au chochote tu) lakini ukiwa umefungua Jina Jipya na umeachana na hili la mcharuko! Wish u goodluck and happiness
 
wanaume tunapaswa kushawaishiana 'kuchukia'
tabia za ku take advantage unapomuona msichana ana shida na kaja kwako umsaidie...
 
Back
Top Bottom