Kwanini napiga bao moja tu nalala? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini napiga bao moja tu nalala?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mbaga Michael, Sep 20, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  d
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Uzuri mmoja umeshajijibu mwenyewe. Hapo kwenye nyeto hapo ndipo mgogoro mzima unapoanzia.
  Labda nikuulize unafanya mapenzi kila baada ya muda gani??
   
 3. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  tuseme ni kila baada ya mwezi mmoja hivi
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Jitahidi kufanya mfulilizo i mean kila siku kadiri unavyoendelea utajikuta unachelewa...
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni aina ya uhanisi, onana na daktari haraka sana. Kuna dawa za mitishamba zinazosaidia sana hilo tatizo, tafuta mzizi unaitwa mdindadinda kula na karanga mbichi, halafu sikilizia. Usiache kuonana na daktari kuna maelekezo na dawa za hospitali zinatibu hilo tatizo.

  What causes premature ejaculation? There's not one cause; it's a combination of factors. Some believe anxiety is the culprit, repetitive learned behaviors, excessive or insufficient arousal, or muscular tension. They're all associated, and addressing each of them is the key to curing premature ejaculation. Evolutionary psychology suggests men learned to ejaculate quickly to ensure they completed the sex act before a predator attacked, a female escaped, a male interrupted, or to increase the chance of procreation. Maybe we can blame the cavemen? For our purposes, let's leave the scientists to figure out the causes and let's focus on tips for curing premature ejaculation.
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,462
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Fanya mazoezi
   
 7. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa ushauri mzuri lkn Huo mti wa mdindadinda unapatikana mikoa yote au baadhi ya mikoa?
   
 8. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Tatizo nikimwita demu wangu anakuwa mtata kuja akilalama eti namuacha na maumivu hvyo niwait atulie kwanza
   
 9. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Loh makubwa niongeze tena tatizo?
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Haya ndo madhara ya punyeto ila kazana kula vyakula jamii ya karanga huku usikose kunywa vinywaji jamii ya konyagi
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tafuta demu wa kumfanyia mazoezi badae utajikuta umekuwa mzoefu kwenye gemu la ngono
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kweli nimeamini what goes on must come around
   
 13. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  The answe is simple; uume wako umezoea Sana kusisimuliwa with hard things to ejaculate, punyeto, now ukiwa na mwanamke unakuwa very much excited to the extent that you can't wait! Pole but that is the side effect of Punyeto.


   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sijui mikoa ipi mingine lakini najuwa coastal area unajulikana sana na wazee.
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Tumia ulimi, vidole etc. Kwani hata umeme ukikatika si unawasha chemli?!!!
   
 16. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vyakula na mazoezi ndio mpango mzima!
   
 17. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  tafuta mrembo asiyependa sana ngono ili ufaidi...kiduchu tu kitu mwake!!!lol.....pole sana mkuu nakutania aisee! mi naona ushauri wa@mkirua unafaa. Jaribu Mkuu kila la kheri....
   
 18. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ebu nionyeshe the way foward kutoka hatua hii
   
 19. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa ushauri
   
 20. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Alichokujibu MKIRUA ni sahihi, fanya hivyo utaona mafanikio. pili inaonekana una papara sana pindi ukiwanaye ghetto hivyo joto lako lapanda, tuliza kwanza presha ndo uanze kumuingia. mwisho wakati unafanya ondoa mawazo juu ya hilo tendo jaribu kuwaza vitu vingine hata kucalculate ile hesabu ngumu ya shuleni. wakati unafanya usijikaze (usiifanye idinde sana) jilegeze kama vile unataka kukojo mkojo si bao. Ukiweza kujizuia hivyo kwa dk 10 au 15 **** inakufa ganzi, hapo ndo burudani inaanza utagonga mzigo mpaka akukimbie. Hivyo ndivyo nifanyavyo mimi na ninauwezo wa kukaa lisaa lizima ndo nipige cha kwanza, namkausha maji yote analia mpaka namuonea huruma, sometime inabidi nimwache bila mi kumaliza.
   
Loading...