Kwanini Nape na Kinana wanatumia kauli hii

Sengeon

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
529
112
Nyakati zote ikitokea Kiongozi anatuhumiwa kwa wizi au kwa ufisadi Nape na Kinana huwaambia wajiuzulu kwa Maslahi ya Chama.

Swali Langu la msingi ni kuwa kwa nini hawa watu wanakilinda Chama zaidi kuliko Nchi?.

Mimi naamini Viongozi waCcm wangeilinda Nchi kama wanavyo kilinda Chama tungekuwa mbali sana Kiuchumi.
 
Ni dhahiri kuwa kula yao ndani ya chama ni muhimu zaidi kuliko taifa. Hilo linatokana na vitendo vya ccm ambavyo inajali uhai wake kuliko uhai wa taifa.
 
Nape na Kinana ni watu wa propaganda mtu mwenye akili huwez kukaa na kuwasikiliza
 
Back
Top Bottom