Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

Muda wote anavyohutubia taifa ni kulalamika na kutoa ahadi kana kwamba bado yupo kwenye kampeni. 2020 kesho tu amebakiza mihula miwili ya bajeti, bajeti ya mwaka huu haitekelezeki ahadi alizoahidi hazitekelezeki. Milion 50 kila kijiji sijui zitatoka wapi na bado anasema anataka Tanzania iwe donors country nguo walizovaa wasukuma wa Chato zikavaliwe tena na akina Jay Z USA.
 
Uhasama wa Pengo na Dr Dau ndio uliomfanya Dr Dau aondolewe NSSF tena alitaka akamatwe na kupelekwa mahakamani kama sio JK na Ben kumuonya lingekurupuka tu.. hili jamaa ni jendawazimu..we umewahi kuona hili jamaa limepiga picha na familia yake ? Mungu ndio maana kamuadhibu kampa mitoto yote mitaahira
This is not an argument, personal attack za nin mkuu? Punguza munkari hapo ulipo, otherwise kama ni hasira zako ulizo nazo zinaweza kuja kukufikisha pabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakurupuka,Ubabe kwa sana hawezi kuwa kiongozi bora kwa hali hiyo, na kulipa visasi kwa watu waliomkosea enzi za nyuma dah kweli huyu mzee
 
Lissu anaweza anaye sema Bombardier Q400 ni ndege ya Magufuri. Hata kuku watacheka badala ya kuwika. Kama sio chuki na wenda Wazimu utauitaje huo?

Wewe unashabikia watu ambao wako tayari kushirikiana na wazungu waishtaki nchi yako na kuzuia ndege zetu kwa ajili ya madaraka? Huo unauita uzalendo! Acha masihala. Nenda kapimwe akili. Nafikiri hata darasa la saba hukumaliza. Kamalize kwanza shule upate cheti cha kuhitimu elimu ya msingi maana naona inakosekana kwako.

Aisee hoja yako mbovu sana. Kwa hii hoja nachoweza sema ni kuwa; "Wewe sio mtanzania". Kama unao uraia wa Tanzania basi nakuomba uurudishe. Hufai kabisa kuitwa mtanzania. Definitely not!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
watanzania wengine wana chawa za akili wazungu ndio wanafanya shizonje awepo ikulu bajeti asilimia 44 hela ya wazungu, wazungu wakimletea fedha anaonyesha meno yote sasa hivi munajidai eti wazungu ni adui wakati munawaabudu propaganda za kishamba peleka karomije
 
Ningependa kutoa maoni yangu na kuelezea kwa nini Rais Magufuli ameshindwa kabisa kuliongoza taifa...

Uongozi sio nguvu siasa sio nguvu wala siasa sio Uadui hata siku moja wenzangu wale mliosoma political science mnajua kabisa siasa ni science.

Lakini Rais nilianza kuwa na mashaka naye baada ya kufanya maamuzi ya hovyo hovyo.
" Ukipanda hovyo utavuna hovyo"

1: Kuteua baadhi ya Maafisa wa jeshi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya Makosa yalianzia hapo Mimi siafiki hata kidogo maafisa wetu wa jeshi kuwa Wakuu wa mikoa na wilaya ambavyo ni vyeo vya kisiasa.

2: Ni kuondoa vitu visivyo na kodi kwenye kambi za jeshi mfano vitu kama cement, mabati vilikuwa vikipatina kwa bei rahisi Jeshini kuliko mtaani hivyo kuwafanya wanajeshi waweze kuimili kujenga nyumba zao za kuishi bila kusubili mpaka wasitaafu..

Pia kwenye swala la bia kazi wanazofanya wanajeshi ni kazi ngumu na muhimu kwa nchi halafu ikifika jioni wanajumuika kambini na kunywa angalau bia za bei nafuu na kuondoa mawazo ambayo yangepelekea wao kufanya mambo yasiyo mazuri kwa taifa .

Matokeo yake umeondoa na sasa wanalipia kama kawaida kama RAIA wengine kitu ambacho sio sahihi.

3: Kuzuiliwa Kwa Muda mrefu kwa Godbles Lema na kamata kamata ya Tundu Lissu Hii kiukweli nikwambie tu ukweli zaidi ya wale vijana mnaowalipa buku 7 hakuna mtu yeyote anayefurahia kamata kamata ile wafuasi wako wanakuwa wanyonge sana mtaani jinsi ya kujitetea pale tu taarifa ya habari inapotangaza kuwa Lissu kakamatwa mawaziri wako pia wala hawapendi na wala hawakwambii.

Ushauli wa bure....

Fanya mambo ya msingi kwa taifa..

Lipa vizuri wanajeshi wetu wape Uhuru wa kuishi kama zamani ..

Lipa vizuri wafanyakazi wa serikali na ishawishi private sector ilipe vizuri wafanyakazi wake kama alivyofanya Kikwete..

Waburuze polisi maana ndio hawajitambui hawana haja ya kuongezewa mshahara...

Achana na wapinzani waache wafanye mambo yao watakavyo unawapa kiki na kuipa shida serikali yako.....

Fanya mambo uliyoyasema acha kutumia mtaji wa masikini kama nembo ya taifa kila mfano masikini wa nchi hii unaonyesha jinsi gani ulivyo na negativity kwa wanachi wako ...

Acha kutumia umasikini wa baadhi ya watanzania kama karata ya wewe kuendelea kupata huruma ya wananchi ..

Umefikia kuwaita wasaidizi wako Wapumbavu je mwananchi wa kawaida akiingia anga zako utamuitaje?

Acha kutumia nguvu tumia "Knowledge" ukiangalia marais wote duniani nchi zao zilizoendelea wanatumia akili zaidi kuliko nguvu hata Putin ukiangalia nchi yake kila siku wanagundua siraha mpya Hata north Korea kila Siku wanagundua kombola la masafa marefu la nyukilia wewe uko busy na Tundu Lissu..

"Kaa ukijua kabisa lazima ukubali choo kizibuliwe ili uendelee kunya lasivyo utajisaidia chumbani hautatoka"

Hajashindwa, sema wewe umechoka kuishi maisha ya ukweli ulizoea magumashi.
 
Sasa ndiyo Taifa lione makosa makubwa kabisa ambayo limefanya!

Mtu hajawahi kushika nafasi yoyote ya kisiasa hata ile ya chini kabisa ya Mwenyekiti wa serikali ya mtaa.....

Leo ghafla bin vuu anakabidhiwa Uenyekiti Taifa wa chama tawala and the same time President and at the same time Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote nchini.

Kwa vyovyote mtu wa aina hiyo ni lazima achanganyikiwe na kuamini kuwa kwa kuwa yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote nchini, yeye hatajibu hoja kama mfumo wa kisiasa unavyotaja , Bali yeye atatumia majeshi "yake" kumkamata yeyote anayemkosoa!

This is very terrible mistake which our President is doing.......

Matokeo yake nchi ataipasua vipande vipande na kamwe nchi haitakuja kurejea kwenye Tanzania ya Umoja na mshikamano aliotuachia Mwalimu Nyerere.

Hakika huu siyo wakati wa kukalia kimya maovu anayofanya Mkuu wetu wa nchi, Bali kila mwananchi ni wajibu wake kupaza sauti yake kadri awezavyo ili tabia hii ambayo siyo utamadumi wa watanzania ipate kukoma kabisa.
Amekuwa mbunge tokea mwaka 1995 mpaka sasa kawa Raisi. Amesimamia barabara nyingi tuu, na zimesimama. Amekuwa Waziri kwa muda wa zaidi ya miaka 10. Kaangalie mtandao wa Barabara ulivyo, ndio utaelewa nini jamaa kafanya, acheni unafiki wa kukosoa kosoa,. Wakati Raisi Kikwete anaongoza mlisema ni kiongozi dhaifu. Hata wakiingia wapinzani mtakosoa tuuu.
Pambaneni na hali zenu, hakuna kiongozi atakayeleta maisha mazuri apa duniani.
 
Bora umewaambia maana toka nimeanza kusoma naona utumbo tu sijaona la maana hata moja alipokuwepo mkapa walisema nchi inaizwa kaja kikwete raisi zaifu na mpole leo komando magufuli eti mkali anapasua taifa acheni mawazo mgando pambaneni na hali zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa kutoa maoni yangu na kuelezea kwa nini Rais Magufuli ameshindwa kabisa kuliongoza taifa...

Uongozi sio nguvu siasa sio nguvu wala siasa sio Uadui hata siku moja wenzangu wale mliosoma political science mnajua kabisa siasa ni science.

Lakini Rais nilianza kuwa na mashaka naye baada ya kufanya maamuzi ya hovyo hovyo.
" Ukipanda hovyo utavuna hovyo"

1: Kuteua baadhi ya Maafisa wa jeshi kuwa wakuu wa mikoa na wilaya Makosa yalianzia hapo Mimi siafiki hata kidogo maafisa wetu wa jeshi kuwa Wakuu wa mikoa na wilaya ambavyo ni vyeo vya kisiasa.

2: Ni kuondoa vitu visivyo na kodi kwenye kambi za jeshi mfano vitu kama cement, mabati vilikuwa vikipatina kwa bei rahisi Jeshini kuliko mtaani hivyo kuwafanya wanajeshi waweze kuimili kujenga nyumba zao za kuishi bila kusubili mpaka wasitaafu..

Pia kwenye swala la bia kazi wanazofanya wanajeshi ni kazi ngumu na muhimu kwa nchi halafu ikifika jioni wanajumuika kambini na kunywa angalau bia za bei nafuu na kuondoa mawazo ambayo yangepelekea wao kufanya mambo yasiyo mazuri kwa taifa .

Matokeo yake umeondoa na sasa wanalipia kama kawaida kama RAIA wengine kitu ambacho sio sahihi.

3: Kuzuiliwa Kwa Muda mrefu kwa Godbles Lema na kamata kamata ya Tundu Lissu Hii kiukweli nikwambie tu ukweli zaidi ya wale vijana mnaowalipa buku 7 hakuna mtu yeyote anayefurahia kamata kamata ile wafuasi wako wanakuwa wanyonge sana mtaani jinsi ya kujitetea pale tu taarifa ya habari inapotangaza kuwa Lissu kakamatwa mawaziri wako pia wala hawapendi na wala hawakwambii.

Ushauli wa bure....

Fanya mambo ya msingi kwa taifa..

Lipa vizuri wanajeshi wetu wape Uhuru wa kuishi kama zamani ..

Lipa vizuri wafanyakazi wa serikali na ishawishi private sector ilipe vizuri wafanyakazi wake kama alivyofanya Kikwete..

Waburuze polisi maana ndio hawajitambui hawana haja ya kuongezewa mshahara...

Achana na wapinzani waache wafanye mambo yao watakavyo unawapa kiki na kuipa shida serikali yako.....

Fanya mambo uliyoyasema acha kutumia mtaji wa masikini kama nembo ya taifa kila mfano masikini wa nchi hii unaonyesha jinsi gani ulivyo na negativity kwa wanachi wako ...

Acha kutumia umasikini wa baadhi ya watanzania kama karata ya wewe kuendelea kupata huruma ya wananchi ..

Umefikia kuwaita wasaidizi wako Wapumbavu je mwananchi wa kawaida akiingia anga zako utamuitaje?

Acha kutumia nguvu tumia "Knowledge" ukiangalia marais wote duniani nchi zao zilizoendelea wanatumia akili zaidi kuliko nguvu hata Putin ukiangalia nchi yake kila siku wanagundua siraha mpya Hata north Korea kila Siku wanagundua kombola la masafa marefu la nyukilia wewe uko busy na Tundu Lissu..

"Kaa ukijua kabisa lazima ukubali choo kizibuliwe ili uendelee kunya lasivyo utajisaidia chumbani hautatoka"
Mushindwe kuijenga chadema ,mkakubali mgeni wa week na kugombea urahisi je hamkuona ndio aliyeibomoa na pia kama alibomoa chadema kwa kipindi cha uchaguzi bwana lowassa je inchi angeweza iongozaaa,,,,,hapa ndipo waswahili hisema nyani hauni kundule,,jitathimini sana kijana wa ufipa ukileta hapa uzi usikuongoze unafiki na uzandiki havikusaidii zaidi ya kuonekana vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom