Kwanini nakubaliana na Msemaji wa Simba kuwaita baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo Takataka?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga.

2. Wengi wao ni Wanafiki sana.

3. Wengi wao wana Chuki na Simba.

4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba.

5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi.

6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba.

7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara na Msemaji Manara.

Ni imani yangu kubwa sasa kwa kuitwa Kwenu 'Takataka' nyie baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo nchini Tanzania mtabadilika.

Haji Manara kawapeni Dozi Mujarab tu.
 
Uzuri hawajakikwepa kipigo/ kipondo/kisago/mkeketo/kichapo! Bali wamekisubirisha tu, wataingia tu kwenye 8n za mnyama siku si nyingi, nahapo watajuta kwanini walikisusa siku ile na kwamba huenda kipigo kisingekua heavy kama hicho watachopokea siku hiyo.
 
Binafsi naungana na wewe 100%,siku zote masikini hujenga chuki kwa tajiri tena masikini ni wengi sana, hivyo sioni ajabu kwa wachambuzi masikini wa akili hadi kipato kuipinga simba! Kuhusu wachambuzi wengi kuwa na wivu na hajismanara ni kutokana na ushawishi wake ktk mpira pamoja na akili kubwa ya kuongea ktk media! Kwa bomu lake hilo la tak tak missile watakuwa wameshika adabu!
Vita hii hata radio, magazeti, TV na wana habari binafsi wakiungana lazima HAJISMANARA ATAIBUKA KIDEDEA!
 
1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga

2. Wengi wao ni Wanafiki sana

3. Wengi wao wana Chuki na Simba

4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba

5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi

6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba

7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara na Msemaji Manara

Ni imani yangu kubwa sasa kwa kuitwa Kwenu 'Takataka' nyie baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo nchini Tanzania mtabadilika.

Haji Manara kawapeni Dozi Mujarab tu.
Zaid ya yoote, karibia wooote ni vilaza. Elimu zao ni div 4 na div 0. Kama hutaki mtaje walau mmoja tu ambaye alipata div ONE au TWO ktk masomo yake ya O-level na A-level
 
Simba mnaanzisha vita alafu hamjui adui yenu ni nan na kama mnajua basi mnamuogopa
 
Naunga mkono hoja, waandishi na wachambuzi wa michezo Tanzania wengi ni wanafiki, wanapenda kusema mambo ya Simba SC in a nevative way no matter how many times wataelekezwa, wengi wao wamejaa ushabiki na unazi wa kindezi.

Mfano suala la bilioni 20 ambazo MO atazitoa Simba, ameshatolea ufafanuzi hilo suala mara nyingi sana, hawa wachambuzi feki huwa wanakaa kimya kwa muda then ghafla wanakurupuka tena wanaanza kupiga kelele kwa issue hiyo hiyo, bora jana Manara kawachana live.
 
1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga.

2. Wengi wao ni Wanafiki sana.

3. Wengi wao wana Chuki na Simba.

4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba.

5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi.

6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba.

7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara na Msemaji Manara.

Ni imani yangu kubwa sasa kwa kuitwa Kwenu 'Takataka' nyie baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo nchini Tanzania mtabadilika.

Haji Manara kawapeni Dozi Mujarab tu.
Wangeizungumzia Simba vizuri angewasifia
 
Back
Top Bottom