Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,925
- 31,850
Hello JF,
Leo nilikua nawaza vile vyuo vikuu duniani, kama Cambridge, Oxford, Harvard etc wanakuwaga na mitihani ya mchujo mkali kwa wanaotaka kuingia kusoma degree zao.
Sasa mimi nahisi kuna makosa kwenye huu mfumo sababu wengine lugha ya kiingereza ni tatizo na hatusemi mtu kwa sababu hajui kiingereza then asipewe nafasi.
Unaweza ukawa unaongea English fluently, lakini tukirudi inteligency test ukafeli, lol
China, Russia wanaongea lugha zao na wamesonga mbele.
Na sisi tuamue, kama kiswahili kitumike then kuanzia awali, mpaka secondary na chuo tena tuangalie syllabus zao(siku hizi kila kitu online)tucopy and paste,
Uko Chato lakini unakuwa msomi from Harvard, well literally....................