Kwanini mzozo katika Tuzo za Tanzania Digital Awards(TDA) za Kennedy Mmari?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
36,638
44,344
Katika mtandao wa Twitter umeibuka mzozo mkubwa kati ya baadhi ya wanaharakati na wanachama wa upinzani dhidi ya Tuzo zilizoanzishwa na kijana aitwaye Kennedy Mmari. Wengine wamefikia hatua hadi ya kutaka kutolewa kwenye hizo tuzo kwa lugha kali sana.

Hizi Tuzo za Kennedy Mmari zinafadhiliwa na nani?

Zina manufaa gani kwa jamii?

Washiriki wake wanapatikanaje? Zinahusisha wataalamu au timu ya watu wabobezi kuchagua washindani ?
Kuna kipengele kinahusisha pamoja Haji Manara, Diamond, Jokate na Fatma Karume!

Kwa nini wale wanaokataa kushiriki wanashambuliwa sana na baadhi ya watu?

Kwa nini kulazimisha ushiriki wa baadhi ya watu ?

Anayezifahamu hizo tuzo vizuri na mwenye majibu ya haya maswali asaidie wengine.
 
Waliondaa Tuzo mwaka jana ndio wale wale ambao wameandaa mwaka huu. Sio hivyo tu, waliopaga Tuzo mwaka jana na kupongezana huku wakishukuru wana-Twitter wenzao ndio hao hao baadhi yao wanazikataa mwaka huu.

Kuna watu huko Twitter wamejiimilikisha akili za watu na watu wametoa akili kuwapa hao wanaojiita wanaharakati wazi-control
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom