Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Wadau nawakumbusha tu wakati wa Awamu ya 1
Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere licha ya kuwa ni mgombea pekee hakuwa na mpinzani hakuwahi kutangazwa kuwa kapita bila kupingwa badala yake wananchi walimpigia kura na kuhesabiwa kisha matokeo kutangazwa.
Lakini leo tume ya uchaguzi mgombea akibaki pekee yake badala ya wananchi kumpigiwa kura Tume ya Uchaguzi inatangaza kuwa mgombea amepita bila kupingwa kitu ambacho sio sahihi kwani wapiga kura hawajapewa haki yao ya kikatiba ya kuchagua hakika ni utaratibu mbovu sana.
Mgombea akibaki pekee yake apigiwe kura ndio ziamue asitangazwe kuwa kapita bila kupingwa