Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Embu tuanze na hili kwanza la vichanga , unaelewa Allah aliua watu wote kwa nuhu wake , embu weka ushahidi vichanga havikuuliwa

Koran 71:26. Na Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri!

Ngoja nikuoneshe mungu mwenye jinsia na uume

Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us.....

Akitaka anapiga machine Malaika au houri
Allah Hana jinsia ila Mungu wenu ana jinsia,,au unakana kua Yesu sio Mungu,,,na umetoka kusema alikatwa govi Sasa govi linakatwa wapi kama sio kwenye uume?? halafu usipotoshe hiyo aya ipo hivi;

21:16 - Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo

21:17 - Kama tungeli taka kufanya mchezo tunge jifanyia Sisi wenyewe, lau kwamba tungeli kuwa ni wafanyao mchezo.

Nimekuonesha Yehova alivobariki watu wauawe kwa upanga unabadili mada kwa kuleta habari za gharika,, point Ni kwamba Yehova ndio muasisi wa kuua watu kwa upanga.
 
Hiyo Aya nenda kasome tafsir uone , au soma translation tofauti , waislamu ni waongo Sana likija swala la translation

Kwa hiyo unakiri Yehova ndio alimtanguliwa Allah kuwepo , sasa habari za Allah kumwambia nuhu ataua watu wote na kumuacha nuhu na ndugu zake aliua watoto au aliwaacha?

Kwa nini Allah alibariki watoto wafe kwa maji? Ukipata jibu utakuwa umepata na la Jehovah
 
Ingia hapa upate ukweli , Allah anasema akitaka mke anachukua nani , ila anasema hana hisia kwa wakati huo

Pasaka ni siku takatifu ya kumbukizi ya Masihi Yesu kristo,ndio maana mvua inanyesha kuonyesha baraka
Kwahiyo yesu kristo alifufuka siku ya tarehe 17 April....😂😂😂😂😂😂

Upopoma wa SGR huu
 
naomba kuuliza mama yake Mungu wenu alimzaa Mungu wenu akiwa na miaka mingapi?? na unashangaa bi Aisha kuolewa akiwa na umri wa miaka 9 enzi za kale hivi unajua Sheria ya ndoa ya wazungu mnaowatukuza mpaka karibia mwaka 1800s ilikua inaruhusu mwanamke kuolewa umri wa chini miaka mingapi?? Nina hakika huna unalolijua,,,Mimi nimeanza primary 99 huko na wanafunzi niliowakuta wa darasa la sita na la Saba walikua Ni wadada wakubwa lkn hebu check watoto wanaomaliza la Saba kipindi hiki walivyo wadogo,,,nachotaka kusema kwa akili yangu ndogo ya darasa la Saba ukuaji unaathiriwa Sana na mazingira,, Aina ya vyakula,,, madawa na factor nyingine,, Bibi yangu aliolewa na miaka 16 miaka hiyo lakini kwa Sheria ya mtoto ya Sasa babu yangu angefungwa jela kwa kosa la kuoa mtoto chini ya miaka 18,,,mambo mengine mnajitia aibu tafuteni elimu au badilisheni kebehi zilizopo zinapanguka kirahisi.
Wewe Muhammadan (56) rapist wa Aisha (9) nini hasa logic yako? Umeanza la kwanza 99 au? Kumbe naongea na maamuma wa juzi tu.
 
Ingia hapa upate ukweli , Allah anasema akitaka mke anachukua nani , ila anasema hana hisia kwa wakati huo

Hahaaaaa, umenifurahisha na umemuweza. Jamaa zamani walikuwa wanasumbua sana wakristo sababu wakristo tulikuwa hatusomi kiarabu chao. Sasa wengi tunasoma quran na tunaijua. Ni najua quran inasema Allah ana jicho moja na ana mguu mmoja. Ni mlemavu.
 
Wewe Muhammadan (56) rapist wa Aisha (9) nini hasa logic yako? Umeanza la kwanza 99 au? Kumbe naongea na maamuma wa juzi tu.
na Joseph (90+) baba yake wa kambo na yesu kukioa ki binti Cha maika 12 Mariamu hii hujawai ona ni ubakaji😂😂😂😂😂😂

Ukiwa mkristo basically unapungukiwa 50 to 75% ya akili yako
 
kusema hakuna mkristo anayesilimu inaonesha wewe ndo maamuma uliyechelewa,, Ni sawa na muislam kusema hakuna muislam anayeritadi Ni ushabiki wa kishamba,,,na uislam haujawahi kuenezwa kwa kumwaga damu za watu wasio na hatia tafuteni elimu msimuache aende zake,,, hakuna Vita hata moja aliyopigana nabii Muhammad sababu ikiwa Ni kueneza dini na hakuna Aya hata moja iliyoamrisha waislam wapigane Vita ili kuwafanya wasio waislam wawe waislam,,, hakuna Kama ipo ilete isipokua Aya zote zilizoamrisha waislam kupigana Ni kwa ajili ya kujilinda baada ya kuchokozwa na kufanyiwa fujo na ukorofi na washirikina wa macca bila kukoma na baada ya njia za mazungumzo kushindikana,,tena waislam walipigana chini ya taratibu maalum kua hakuna kuua wazee,,watoto,,walemavu,,wanawake na yeyote ambaye hajashika silaha kwa ajili ya kupigana,,hakuna kuharibu vyanzo vya maji Wala kukata Miti Wala kuua wanyama labda kinachowauma Ni kua Mungu wetu ameturuhusu kupigana ikiwa mtatuchokoza huku kwetu hakuna unyonge wa ukipigwa la kulia geuza na la kushoto,,, na aliyefundisha kuua Hadi vichanga vilivyozaliwa leo Ni Mungu wa biblia hlf kwa nje mnaupaka mafuta ukristo kua ni wa upendo na haki wakati mafundisho yake yapo kinyume.

Deuteronomy 20:17
But you shall utterly destroy them, the Hittite and the Amorite, the Canaanite and the Perizzite, the Hivite and the Jebusite, as the Lord your God has commanded you,

1 Samuel 15:3
Now go and strike Amalek and utterly destroy all that he has, and do not spare him; but put to death both man and woman, child and infant, ox and sheep, camel and donkey.’” Sasa hapa kondoo,,ngamia na punda walikosa Nini jamani.

Numbers 31:18
But all the girls who have not known man intimately, spare for yourselves. On hapa Yan Mungu wenu kaona wasichana bikra ndo wamuhimu wasiuwawe Bali mjitwalie mkajisosomole but wazee,watoto,walemavu na wanawake wasio bikra sio shida zake wauwawe tu.

Hosea 13:16
Samaria will be held guilty,
For she has rebelled against her God.
They will fall by the sword,
Their little ones will be dashed in pieces,
And their pregnant women will be ripped open.

Exodus 32:28
So the sons of Levi did as Moses instructed, and about three thousand men of the people fell that day.

Deuteronomy 20:16
Only in the cities of these peoples that the Lord your God is giving you as an inheritance, you shall not leave alive anything that breathes.

Deuteronomy 15
For the Lord your God will bless you as He has promised you, and you will lend to many nations, but you will not borrow; and you will rule over many nations, but they will not rule over you.

Deuteronomy 13:16
Then you shall gather all its booty into the middle of its open square and burn the city and all its booty with fire as a whole burnt offering to the Lord your God; and it shall be a ruin forever. It shall never be rebuilt.

Deuteronomy 12:3
You shall tear down their altars and smash their sacred pillars and burn their Asherim with fire, and you shall cut down the engraved images of their gods and obliterate their name from that place.

Joshua 6:21
They utterly destroyed everything in the city, both man and woman, young and old, and ox and sheep and donkey, with the edge of the sword.
Hadi hapo upendo mnaotutangazia Upo kwenye ukristo Ni upi hasa au Ni ule wa nyie kufurahia mwenzenu kutundikwa msalabani kwa midhambi na upuuzi wenu,,,,mko na ubinafsi Sana yani mtu mmoja asiye na hatia aadhibiwe kwa makosa ya watu wengine bado mnajinasibu Mungu wenu Ni wa haki kwa Nini Kila mtu asihukumiwe na makosa yake mwenyewe hamuoni Kama hiyo ndo haki zaidi hata msamaha utokane na jitihada za mtu binafsi kuomba msamaha na kujutia makosa yake na kurekebisha mwenendo wake,, mna mavitu mengi ya ujinga mwingi hlf kutwa kuwakebehi waislam toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndo ukione kibanzi kilichopo kwenye jicho la mwenzio. halafu concept ya dhambi la asili sijawahi kuelewa yani kwa Nini Mungu wa upendo awarithishe na awahukumu kwa dhambi ya mtu mwingine na kwa Nini hakuwarithisha thawabu mkarithi dhambi tu.
Halafu unauliza Allah Ni nani?? waulize waarabu wakristo wanamuitaje Mungu kwa kiarabu..
Hata sikusoma huu upuuzi wako ulioandika wewe mtoto wa mbakaji muddy.
 
na Joseph (90+) baba yake wa kambo na yesu kukioa ki binti Cha maika 12 Mariamu hii hujawai ona ni ubakaji😂😂😂😂😂😂

Ukiwa mkristo basically unapungukiwa 50 to 75% ya akili yako
Unatunga sio wewe Mtoto wa ndoa ya utotoni ili kutafuta justification ya ubakaji wa muddy?
 
Hiyo Aya nenda kasome tafsir uone , au soma translation tofauti , waislamu ni waongo Sana likija swala la translation

Kwa hiyo unakiri Yehova ndio alimtanguliwa Allah kuwepo , sasa habari za Allah kumwambia nuhu ataua watu wote na kumuacha nuhu na ndugu zake aliua watoto au aliwaacha?

Kwa nini Allah alibariki watoto wafe kwa maji? Ukipata jibu utakuwa umepata na la Jehovah
Kama waislam waongo na wakristo Ni waongo pro na wazushi ndo maana Kila dhehebu Lina biblia yao na mna shindana kuzifanyia editing biblia ndo unakuta version ishirini na kidogo kazi yenu kuongeza na kupunguza mnayoyaita maneno ya Mungu na kubuni na kuondoa baadhi yake sijui mnafanya hivyo kwa mamlaka ya Nani wakati hata yesu alisema hata mbingu zitapoondoka nukta moja ya torati haitaondoka lakini Paulo anasema mmekombolewa na Sheria Sasa hapo Nani muongo yesu au Paulo/sauli,,, Kisha kwenye uongo wenu mnamsingizia roho mtakatifu sababu haonekani ajabu naona Kila dhehebu Lina roho mtakatifu wao anaowaongoza sasa sijui mna roho watakatifu wangapi maana Kila dhehebu na biblia yao,,Kama mna roho zaidi ya mmoja ina maana utatu mtakatifu Ni uongo pia maana itakua Ni baba,,mwana na maroho watakatifu na Kama mnaongozwa na roho mmoja iweje mtofautiane roho anawaacha vipi mnachanganyana Mara wengine yesu Mungu,,wengine mwana wa Mungu,,wengine nabii,,,wengine wana krisimasi na pasaka wengine hola wengine wanasali jumapili wengine jumamosi,,wengine wazungumze Kama wamepandwa na mashetani wengine hola na wapo wanaobusu masanamu,,,Ni tafrani vurugumechi huyo roho SI awaongoze kwenye neno moja lililosawa ila huku kutofautiana ina maana roho Ni muongo na mchonganishi au nyie wakristo ni waongo mnamsingia roho.
 
Aisee ndo maana siku hizi siipendi jf,imekuwa ya kijinga,mada za kijinga kutoka kwa wajinga,wenye akili za kijinga.

Kuna mijitu ya hovyo humu sijapata ona,sasa unawashwa na nini hasa??

Hayo mambo yenu ysnskuwaga masika mvua tele hasa huu mwezi wa nne,kwahiyo unataka kusemaje??

Oooh Mungu wape iman/aman wsja walio na chuki moyoni mwao,maana iman za wenzao zinawanyima usingizi na wanateseka haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli uliowazi ni huu Yehova ana jinsia ya kiume ndo maana mnamwita baba sasa Kama Ni jinsia ya kiume wote tunajua kinachotofautisha ke na me Ni nini,,,na Mungu mtoto Yesu anajinsia ndo maana alitahiriwa na wanadamu wanaomuabudu,,,na Hapo juu umenisahihisha The Lord she atarudi kufanya ukahaba,,nafikiri familia ya baba,,mama na mtoto imekamilika.
Whoa
 
Nina uhakika huo upuuzi umeusoma wote sema akili umemuachia mchungaji kanisani akushikie utazipitia jumapili wewe mtoto wa hanithi na mwizi wa punda na ngano za watu
Are you a muslim/muslimah? you know this ain't right, huh?
 
Back
Top Bottom