Mkuu wewe ulijuage kama kuna instergram?Polen na kaz za hapa na pale nyini wanaume wa dar kwanini mnapenda sana mambo ya instergram mnamatatizo gan nyie mimi naomba mkapimwe akili maana siyo bure
Halafu wanapiga picha zenye ukungu na tekno 340 halafu zipo upande maana wanajiselfisha kwa kugeuza simuNa mtuache mbona nyinyi wa mikoani full Facebook sisi hatusemi?
Huyu hapa mnyaturuHalafu wanapiga picha zenye ukungu na tekno 340 halafu zipo upande maana wanajiselfisha kwa kugeuza simu
haahaaaa!umenifanya nipaliwe chakula we jamaaHuyu hapa mnyaturu
mtindi ni kitu gan?ila hiyo picha mpaka inaoopesha...Huyu hapa mnyaturu