Kwanini mwapenda mambo ya instagram

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Polen na kaz za hapa na pale nyini wanaume wa dar kwanini mnapenda sana mambo ya instargram mnamatatizo gan nyie mimi naomba mkapimwe akili maana siyo bure
 
Polen na kaz za hapa na pale nyini wanaume wa dar kwanini mnapenda sana mambo ya instergram mnamatatizo gan nyie mimi naomba mkapimwe akili maana siyo bure
Mkuu wewe ulijuage kama kuna instergram?
 
Na mtuache mbona nyinyi wa mikoani full Facebook sisi hatusemi?
 
Huwezi kulijiua jambo pasipo kushughulika nalo.

Wewe ni mtumiaji mzuri wa Instagram na ndio maana umekuja na hilo.

Instagram sio mbaya isipokuwa sisi watumiaji, nadiliki kusema Wengi tulioko huko ni wa kupost mambo ya hovyo na umbea.
 
Halafu wanapiga picha zenye ukungu na tekno 340 halafu zipo upande maana wanajiselfisha kwa kugeuza simu
Huyu hapa mnyaturu
f86c1b458c9ea028ea4ea7dcca03e9c5.jpg
 
Back
Top Bottom