Kwanini mwanamke lazima awe na wanaume wanne? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini mwanamke lazima awe na wanaume wanne?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kipenzi Chao, Oct 19, 2010.

 1. K

  Kipenzi Chao Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilitokea siku moja nipo na mdada mmoja ambaye aliweza kuwa muwazi kwangu kwa kiasi fulani baada ya mimi kutumia mbinu fulani ya kumdadisi kuhusu jinsia yao....! Kwa mujibu wa maelezo yake, wanawake hupenda sana vitu vinne katika maisha yao, ambapo hata moja ikikosekana, basi huchukua hatua za kumtafuta mwanaume wa kuziba nafasi hiyo...! Vitu hivyo ni:

  1. Huhitaji usalama: Kutokana na hili lazima atafutwe mwanaume mwenye misuli, giant, na mwenye nguvu ya kukabiliana na purrukushani yoyote itakayojitokeza mbele ya mwanamke huyo...!
  2. Huhitaji matunzo ya fedha/kiuchumi: hivyo lazima awepo wmanaume ambaye kwa namna moja ama nyingine yuko "well off", si bahili, na wala si mchoyo. Hii ni ili aweze kudhamini movements zake, na chochote kile atakachohitaji...!
  3. Huhitaji mwanaume handsome kwa ajili ya kuongozana naye mtaani, na kwenye maeneo yaliyowazi sana. Hapa atahitajika mwanaume handsome, msafi, mpole nk.
  4. Huhitaji kutoshelezwa kitandani: Kwa kweli alidai hakuna mwanamke mwenye kuweza kuvumilia mapungufu haya, na hivyo lazima atafutwe wa kushikilia idara hii....!
  Je, ewe mwanaume, ukijitizama mwenyewe umeweza kuwa na sifa zote hizo kiasi cha kuwaweza kushikilia idara zote hizo? Kama kuna idara unadhani haupo sawa, basi ujue una mwenzio anayekusaidia idara husika....!
  Je, wadada wengine humu JF mnasemaje?
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nina sifa zote na za ziada pia
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  leh!
   
 4. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanawake wengine ni mabaunsa (hawahitaji kulindwa), wanayo hela (hawataki ofa ya mtu), hawaendekezi u-handsome, wanachotaka mpini tu. Sa hao wa hivyo unawasemea vipi?
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  rekebisha Tito yako,wanaume wanne?maybe ni yy huyo dada not all ladies want that,wat we need ni upendo wa dhati,heshima,uvumilivu,mcha Mungu mengine madogomdgogo yanajiseti with time!
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh watu wanachakachuliwa
   
 7. N

  Ngo JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Huyo uliyemuuliza hata kama akivipata vyote hivyo hawezi kutulia, trait ya kwanza -Usalama, mda wote anakuwa anatembea na huyo mwanaume? Na kama ameolewa huyo mwenye misuri anamkinga vipi wakati hakai naye kumpa huo usalama? Ulivyomuona huyo dada yuko sawa sawa? Kwa hayo maelezo kama ni kweli basi anaonekana ni kiluka njia? Ameolewa? Kama hajaolewa basi ndiyo sababu maana Inaonekana hawezi kukaa na mume mmoja, na kama ameolewa basi ana hatari, maana hiyo miguu yake inayo mlusha lusha mtaani mumewe ataikata, kama si mumewe-Ukimwi utamumaliza.

  Mume handsome wa kutembea naye Ili iweje? Kama umeamua kuolewa naye huyo mwanaume inamaana umeliza naye. Itakuwaje Uolewe na mume mwenye Pesa, wa kukutosheleza Kitandani etc.siyo handsome ukatafute handsome wa kuongozana naye navyokuwa mnatembea? Utaongozana na huyo handsome mda gani na wewe una mumeo?

  Kwa kuangalia hivyo vigezo naweza kusema huyo dada hapo kipindi munaulizana hayo mambo alikuwa hajaolewa. Mpe pole na mwambie ndoa siyo kama anavyofikilia yeye, ni utoto unamsumbuwa.
   
 8. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Je huyo mdada naye ajua kuwa wanaume pia wahitaji mwanamke mwenye sifa sita? Which means at least wanawake 3 wenye sifa 2@ au 6 wenye sifa moja moja
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Siyo lazima!
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mh! Basi kama ndo hivyo kuna mwenzangu mmoja atakuwa ananilindia (rejea kigezo namba moja) Ila vingine vilivyobaki mimi ni three in one!
   
 11. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwanini huyo dada aliacha kutaja vitu vya msingi, jamani u-handsome ataupeleka wapi au utamsaidia nini?!baunsa kwa ajili ya ulinzi,,,:biggrin1:,
  Nadhani hapo kila mtu inategemea na mtazamo wake pamoja interest,coz kuna wengine wanaangalia hivyo vigezo but me NO:A S 103::A S 103::A S 103:
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  I see
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  APANA
  acha uwongo wewe....unaongelea wanawake wakawaida au hao wafanyabiashara au wale warembo bongo lala yeye anataka aletewe tu?
  pole duu alikuingiza chaka vbaya mno
  APO CHA UKWELI NI NAMBA 4 TU....Huhitaji kutoshelezwa kitandani ...apa kidogo sawa sawa
  ata km ukiwa una mahela km mchanga ata km ukiwa na magari home kwako km yard vile bt km game yako ni ya kitoto apo lazma atakusepesha au atakudharau....dudu lazima liwe LAKUTOSHA
  na ukicheki msingi mkubwa wa migogoro katika ndoa ni UNYUMBA ..ayo mengineyo ni vijisingizio tu lakin msingi wa matatizo meng ya ndoa ni DUDU..ata km akiwa maskin lakin game akikupa la kutosha ahh mbona unamwona tajiri tu ..lakin kinyume chake ana ela ana magari bt game hakuna ahh daily kwa baba paroko mashtaka mia mia!!!
  nyie wenye ndoa tafadhali peanen mtosheke shetan aswije akapata nafasi ya kuwasambaratisha!!!1
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  ORAIT loud and clear..
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tawile
   
 16. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  me binafsi nahitaji mtu tunayesikilizana bwana,maumbile au kukutosheleza kitandani yako katika standard fulani kwani binadamu wote wanafanana katika tendo ukiondoa matatizo madogo madogo ya kiafya yakumfanya mtu asimridhishe mwenza wake mfano maumbile madogo.kuchoka haraka,saikoloia ya mtu mfano anashindwa kuingia chumvini au kulamba koni n.k.kwa upande wangu mimi naona kunahitajika kuvumiliana katika kila jambo ikiwa ni pamoja hayo ya mwanaume gani.kwa ujumla mwanamke anahitaji kuw aprovided na hivo vitu kifupi kupatiwa vyote anatakavyo viitaji so we need a man who will provide when i need smthing ila kama hana ni kuvimiliana nae as i love him na ndio mapenzi.swali je ukiwa na mpenzi wako halafu dudu ikakatika kw abahaati mbaya inamaana utamwacha?
  me naona mapenzi yakiwepo hayo yote yanafuata na wala hautayaangalia namimi ndio PRINCIPAL YANGU YA MAISHA YA MALOVEDAV. MOTTO MAPENZI KWANZA....
   
Loading...