Kwanini MWANAHALISI.......?

Mwadilifu

Member
Feb 13, 2011
74
20
Nimekuwa nikishangazwa na hili,ni kwa nini gazeti la Mwanahalisi huwa halipewi nafasi na almost formal institutions zote? kama vile vyuo(serikali na private),maktaba mbalimbali za mikoa n.k,kwy redio na T.V vipindi vya magazeti,ni kwanini?je haliaminiki,je ni......,je ni nini?hivi ni kwanini?
 
Star tv na RFA, hapo nyuma walkuwa wanalitangaza kwnye kpnd cha magazetini asbuh lkn cku hz wameacha.
 
Nimekuwa nikishangazwa na hili,ni kwa nini gazeti la Mwanahalisi huwa halipewi nafasi na almost formal institutions zote? kama vile vyuo(serikali na private),maktaba mbalimbali za mikoa n.k,kwy redio na T.V vipindi vya magazeti,ni kwanini?je haliaminiki,je ni......,je ni nini?hivi ni kwanini?
Sababu hizi hapa
1. Linatoka mara moja kwa wiki, wengi wanataka magazeti ya kila siku
2. Linakosoa sana Serikali, maktaba za mikoa ni za serikali
3. Katika redio na Tv hawana mda wa kuchambua makala za kina za mwanahalisi,
4. Kwasababu linakosoa sana Serikali, inabidi tusubiri mpaka tutakapo pata Redio na Tv huru kwa 100%
5. Baadhi ya viombo vya habari ni vya mzahamzaha vinauwezo wa kutangaza mambo ya mzahamzaha tu kama vile Klouds FM utakuta kuna habari tete za nchi wao mda mwingi wanautumia kutoa habari za kuwachekesha wamama waliokaa vibarazani kusukana na kukunana mba.
6. Baadhi ya viombo vya habari vina tatizo la wataalamu wanaoweza kujua habari gani ni muhimu kwa Mfano Kibbonde wa Klouds FM
 
Back
Top Bottom