2in1
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 211
- 79
Habari za mida, naomba kujuzwa nia na madhumuni ya serikali kwa kufanya hivyo kwa mwaka huu maana wanafunzi wingi ninao wajua ambao walijaza kutaka kupelekwa vyuo vya ufundi wamepata tena kwa ufaulu wa kawaida,hii ipo tofauti kidogo kwa yaliyotukuta sisi tuliomaliza form 4 mwaka 2013 (selection zilitok 2014) yani ilikua kupata chuo ni bahati nasibu mimi mwenyewe na wadau wengine wingi tulifaulu vizuri tu tukachagua kupelekwa vyuo vya ufundi as our first priority lakini unfortunately tukachinjiwa baharini ikabidi tupitie tu form5&6