Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

Ha ha ha haaaaaa very interesting umenikumbusha jamaa aliyesema Mungu ana operate ktk laws za phyisics.

Yaani bila kuwa na negative bas positive haina maana.

Tulikutana katika mkutano aliitisha mzungu mmoja pale YMCA Posta. Nilishangaa alifungua Bible akasema hata jehanum au moto hakuna na shetani hayupo. Alikuja kuanzisha dini yake hapa.

Ndipo huyo jamaa wa hapa hapa TZ alipochangia huo mchango wa postive na negative forces.

Inaelekea mnafanana mambo fulani ndani ya mukichwa..

Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro ambao in fact haupo kwa sababu mungu hajaonyesha kuwepo, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mungu ameshindwa kabisa kutuonyesha kua kweli anatupenda kama anavyosemwa, ameshindwa kuonyesha kweli kua anajali Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.

Nyongeza ya mjumbe.
 
Yaani ni heri usome Tao Teching ya bwana Lao tzu ina make sense kuliko hadithi za kitoto za wanaoitwa wayahudi

Ukiniambia kuna Yin & Yang nitakuelewa sana kuliko upuuzi wa hawa jamaa
 
Kwa tathmini ya haraka haraka inaonesha vitabu Kama Biblia na Quran bila kisahau Talmud ya wayahudi haviwezi kusimama vyenyewe bila msaada wa hekima ya mashariki

Inaonesha vilikuwa ni zao la falsafa za mashariki kubali ukatae_sina muda tu ningeweka mifano mingi yenye uwiano
 
Habari ya jumapili.

Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Hadithi ya shetani kuasi iko one sided, yaani inaelezwa kutoka upande wa mungu, hakuna aliewahi kusikia upande wa shetani(tayari binadam wanamshutumu shetani kwa habari ya kuambiwa, one sided story, hivyo shetani anahukumiwa kua ni mbaya bila kusikilizwa).

Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro ambao in fact haupo kwa sababu mungu hajaonyesha kuwepo, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Kama mungu anawapenda wanadamu kama dini inavyosema alipaswa kurekebisha kasoro zilizojitokeza kabla ya kumuumba mwanadam, lakini pia alipaswa kujua in the first hand kua shetani atakuja kuasi kabla hajamuumba, vinginevyo hajui kila kitu kinyume na inavyosemekana kua anajua kila kitu.

Tukubali tukatae, maovu yote duniani kama mauaji, wivu, kifo, husda, wizi, matetemeko ya ardhi, tsunami, vimbunga, ukame, magonjwa yote chanzo chake ni mungu. Mungu ameshindwa kabisa kutuonyesha kua kweli anatupenda kama anavyosemwa, ameshindwa kuonyesha kweli kua anajali Mbaya zaidi ameyatengeneza alafu ameshindwa kuyaondoa.

Hii mada inaendelea.

Nyongeza ya mjumbe.
kwa haraka haraka mimi ninaweza kuwa na jibu since munu ndo alikua kamuumba shetani na yeye akamuasi maana akakataa kumuabudu then kwa kuwa mungu ni mkubwa akataka kumuonesha sio yeye pekee { shetani} anaweza kumuabdu tuu bali anaweza kuumba kiumbe mwingine amabaye ni wa kawaida sana na akweza kumuabudu huku akijua kwmba sis binadamu tuamsikiliza kila kitu na kufuata yote anayosema na shetani naye kumprove wrong ndio akaanza kuatdanganya na sisi mi nahisi ndicho kilichotokea
 
Nami niliwahi kujiuliza hili na kuandika katika moja ya mada hizi hapa JF. Nilijiuliza kwamba kama mipango mizuri ya mwenyezi Mungu baadae uwa inakuja kuingiliwa na "kidudu mtu" na hatimaye kuvurugika kuna uhakika gani hata baada ya kiama ambapo atawachukua wale waliotenda mema ili "kuurithi uzima wa milele" kama huo mpango wa watu "kuurithi uzima wa milele" nao hautakuja kuvurugwa na mmoja au kikundi cha watu hao hao warithi au hata viumbe hai vingine vya mwenyezi Mungu na hivyo kusababisha hao wachache au wengi watakaoasi kushindwa kuendelea na kufaidi urithi huo?

Mfano Mungu alimuumba Lusifa na mpango wake ulikuwa kwamba Lusifa aishi vizuri na Mungu lakini hilo likavurugika. Ikaja tena Mungu akamuumba mwanadamu akiwa na mpango kwamba nae aishi bila kutenda dhambi lakini huo mpango ukavurugika baada ya shetani kumrubuni mwanadamu na kula tunda. Mifano ya hiyo mipango "mizuri mizuri" iliyokuja kuvurugwa ipo mingi.
Hahahaha viumbe wabishi kwelikweli wanavuruga mipango ya Mungu live bila chenga.
Weka mipango mengine ya Mungu iliyo bounce ili tujifunze zaidi.
Hivi na hilo la Mwenyezi Mungu kujilaumu baada ya kuangamiza Sodoma na Gomora kwa moto siyo kiashiria kwamba pengine nae kuna wakati anafanya makosa na baadae kuona umuhimu wa kuyarekebisha au kuyajutia?

Kumbuka pia baada ya kuwa amemuumba Adam siku hiyo aliridhika na kuiwekea alama ya tick (vema) hiyo kazi yake ya siku hiyo kuonyesha kwamba ameridhika nayo kwa asilimia zote. Lakini baada ya muda (masaa, siku, miezi, miaka?) akaja kuona kuwa siyo vema Adam kuishi pekee yake. Ndipo akaona ulazima wa kumuumba mwanamke Hawa kwa kutumia ubavu wa Adam baada ya kumpa usingizi mzito. Lakini hapo kumbuka alishaweka alama ya vema na baadae kaona haikuwa vema. Najiuliza tu kibinadamu.
Wakati huo huo teyari alikuwa na exprience ya kuumba viumbe wengine pair (jike na dume) Ila Adam akaumbiwa jike Lake baadae 😂😂😂
:D:D aiseeee watu wa mungu post yangu kule juu hamjaiona

narudia tena NI NANI ALIYE ALIYEMSHAWISHI SHETANI KUMUHASI MUNGU MWENYE ENZI KUU ilihali ulimwengu ulikua mtakatifu pasina DHAMBI

DHAMBI N NINI NA NINI CHIMBUKO LAKE?
Hatari sana hii😂😂😂
Hivi unaelewa kua huwezi kupata jibu la moja kwa moja kwenye hilo swali lako pasipokuacha mashaka au kuongeza swali lengine juu yake?

Ikiwa yeye ndiye mjuzi wa vyote na muweza wa vyote hivi alianzaje kumtuma yesu aje duniani eti apigwe afe ndiyo sisi tuamini? Inamaana hakukuwa na njia mbadala tofauti na hiyo? Mbona huyu mungu ni wa neno yaani akitamka kitu kinafanyika je alishindwaje kutamka tu kua shetani kufa alafu shetani afe?? Maana unaambiwa shetani hakuondoka kama raisi anavyokiacha kiti chake baada ya kumaliza miaka yake ya utawala, bali ilipigwa vita huko juu na kitendo cha kupigana vita mbona kinaonesha kua huyu mungu si neno insoneshawazi kua naye aliingia uwanja wa vita

Lakini jambo lingine ambalo mimi silielewi hivi yesu alikuja kwa kazi gani haswa hapa duniani? Maana kama lengo lilikua kutokomeza dhambi basi wamefeli kwa maana dhambi bado zipo. Nilitegemea alivyokuja atakua anaua mapepo yeye kaja kuya tranfer kutoka kwa jeshi kwenda kwenye nguruwe

Sent using unknown device
Kumbe shetani kamkomalia Mungu mpaka pakachimbika😂😂😂
Big up sana shaitwani
Nalog off
 
Ahsante. Umeelezea vizuri. Ila kwa hakika pia sikujua kama huyo shetani anakaa au kuishi "angani". Nisaidie kuhusu yafuatayo:
1. Uwezekano wa wanyama wote kuwa na uwezo wa kuongea kama wanadamu kipindi cha Adam na Hawa. Maana kama wanyama walikuwa hawana uwezo wa kuongea ilikuwaje nyoka alipoongea na Hawa yeye hakushituka kuona siku hiyo nyoka anaongea na kumrubuni kula tunda.
2. Kama walikuwa wana huo uwezo wa kuongea kimaandishi ya vitabu vitakatifu ni wakati gani wanyama hao walipoteza huo uwezo wao wa kuongea?
3. Kupitia vitabu hivyo hivyo vitakatifu mbali na huyo nyoka kuongea siku aliyomrubuni Hawa kuna wanyama wengine ambao wameelezewa kuwa na uwezo wa kuongea kama mwanadamu kipindi hicho hicho cha Adam na Hawa?
Halafu sijui waliongea Kwa lugha gani!
Nalog off
 
Adhabu ya milele ni ile kuishi motoni (jahanam) na hiyo ni baada ya kufa, hivyo shetani baada ya kuasi aliondolewa katika wale viumbe wema, kwa kuwa aliomba aishi kwa muda mrefu ndiyo maana Mungu alimkubaliya ombi lake rejea kwenye aya za Kurani 15:26-50 hapo chini:-

26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 26

27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. 27

28. Na Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Hakika Mimi nitamuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 28

29. Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia. 29

30. Basi Malaika wote pamoja walimsujudia, 30

31. Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu. 31

32. (Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una nini hata hukuwa pamoja na walio sujudu? 32

33. Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unaotoa sauti, unao tokana na matope yenye sura. 33

34. (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! 34

35. Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. 35

36. Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapofufuliwa. 36

37. (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula 37

38. Mpaka siku ya wakati maalumu. 38

39. Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote, 39

40. Ila waja wako walio safika. 40

41. Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka. 41

42. Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata. 42

43. Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote. 43

44. Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa. 44

45. Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 45

46. (Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani. 46

47. Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana. 47

48. Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo. 48

49. Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 49

50. Na kwamba adhabu yangu ndio adhabu iliyo chungu! 50
Kuna mdau kauliza. Mwenyezimungu ana wapenda wanadamu na ni mjuzi wa yaliyopita na yajayo .maanake kwa yanayoendelea wanadamu wameasi vya kutosha manake alijua yatatokea sasa kwa nini asingemmaliza kabisa iblis kama alikuwa anawapenda wanadamu ?
 
Kwanza sio kweli ya kuwa Shetani ndio chanzo cha kila baya.

Pili,baada ya Shetani kukaidi ile amri,alimuomba Mola wake asimfishe mpaka itakapo karibi kiama,na aka ahidi kuwapoteza wanadamu na Mola akasema ya kuwa atawapoteza wale ambao watamtii yeye Shetani lakini wale waja wa Allah wenye kumtii,katu Shetani hatawapoteza.

Na miongoni mwa viumbe wa mwisho kufa ni Shetani laana ya Allah iwe juu yake.

Nipo .....
Yanii shetani kamuasi mungu then mungu kamsamehe na kumpa nafasi hadi kiama kifike hapo hapo muasi ana mwambia tena ntawapoteza wanadamu ambao ni mali ya mungu bado mungu akamchukulia powaa tu jamanii hii ina mkae sense kweli ? Si angemaliza tu kwanza ameasi pili kamtolea vitisho mungu kweli mungu kamuacha.
 
Hii inaingia akilini sababu hukumu ya Shetani ni wa motoni na amelaaniwa. Lakini ahadi ya Allah ni kwa waja ambao hawamtii yeyw hao ndiyo watakao potezwa na Shetani ila wale ambao wanatii amri za Allah,Shetani alishakata tamaa kwao.
 
IMG-20201225-WA0059.jpg

Ukiangalia Creation kwa Akili timamu utakuja kugundua Binadamu tumekuwa Betrayed sema basi tu
 
Back
Top Bottom