Poa.Jibu lako ni dhaifu ndio maana hiyo kauli imeendelea na itaendelea kutamba humu ndani
Salamu gani tena ? Sasa kama salamu ina makosa vipi unataka niunge mkono kosa ?Jamani imefikia huku hata salamu kuitikia ni shida..!
1. Ukamilifu wake ndio huo kwamba kama kapanga jambo lake ata kabla ujazaliwa mfano kwamba bwana A aende motoni , wewe bwana A ata ufanyaje utaenda motoni maana alishapanga hilo jambo , wewe ni bendera fuata upepoSafi kabisa na hapa ndipo unapo ona ukamilifu wa Mola kwamba yeye hakosei,na vipi likatokea hilo jambo utasemaje ? Kwamba ulimlazimisha au utasema huo ni uhuru wa bendera kama unavyouita ?
Ndio maana nasema ya kuwa kujua kwake kwako hakukuzuii wewe kutofanya unalotaka,huelewi wapi ?
Ungekuwa unajibu maswali yangu lazima ungeona ujinga wako uko wapi.
Tuendelee ...
Nakusahihisha ya kuwa sio kupanga bali ni kujua,unatakiwa uwe makini.1. Ukamilifu wake ndio huo kwamba kama kapanga jambo lake ata kabla ujazaliwa mfano kwamba bwana A aende motoni , wewe bwana A ata ufanyaje utaenda motoni maana alishapanga hilo jambo , wewe ni bendera fuata upepo
Ndio maana nakwambia zaidi ya mara mbili sasa kujua kwake yeye Allah aliye juu hakuja kuzuia wewe usifanye wema wala usifanye mabaya,kwahiyo haya unayo yauliza ni ubishi na kuleta utoto katika mambo ya kielimu.2. Kujua kwake ndio jambo la msingi kwasababu wewe usiejua ndio unaangaika lakini Mungu wako matokeo anayo ata kabla ujaanza huko kuangaika , ndio maana nikasema wewe umepewa uhuru wa bendera ,
Umeingia pazuri kweli , mimi na wewe hatujui kuwa ni watu wa motoni au peponi , je Mungu wako anajua au hajui kuwa mimi na wewe ni watu wa motoni au peponi ? kama anajua amejuaje wakati bado tupo hai na fursa ya kutubu tunayoNakusahihisha ya kuwa sio kupanga bali ni kujua,unatakiwa uwe makini.
Mimi na wewe hatujui ni wa motoni au wa peponi,kama hatujui ni wa motoni na ni wa peponi,na inajulikana uovu ni wa motoni na wema ni wa peponi kwanini tusifanye wema ili tuingie ? Hili swali naomba ulijibu,maana unakimbia sana maswali yangu.
Ndio maana nakwambia zaidi ya mara mbili sasa kujua kwake yeye Allah aliye juu hakuja kuzuia wewe usifanye wema wala usifanye mabaya,kwahiyo haya unayo yauliza ni ubishi na kuleta utoto katika mambo ya kielimu.
Haya nifundishe mufti ili kesho nisikoseeSalamu gani tena ? Sasa kama salamu ina makosa vipi unataka niunge mkono kosa ?
Rekebisha kiti chako kwanza kisha ukipambe. Numekukumbusha juu ya umakini kwanza.
Hili nilishakwambia anajua na kujua kwake hakukuzii wewe kufanya unalo taka.je Mungu wako anajua au hajui kuwa mimi na wewe ni watu wa motoni au peponi ?
Kuuliza amejuaje kunaonyesha ni namna gani humjui Mola wetu na ajabu ujasiri wa kumzungumzia usie mjua unaupata wapi ?kama anajua amejuaje wakati bado tupo hai na fursa ya kutubu tunayo
Huwezi kujibu utaishia kuzunguka tu , Mungu wako anajua leo hii wapi wewe Zuri utaenda kama ni peponi au ni motoni anajua kabisaa , tena kabla ata wewe ujafa lakini ashajua sasa wewe una uhuru gani ? wewe rukaruka wewe lakini Mwisho wako Mungu wako anajua kabla ata huo mwisho wenyewe ujaufikia ndio hapo tunapokaa na kucheka pale unapojitangazia uhuru wa benderaHili nilishakwambia anajua na kujua kwake hakukuzii wewe kufanya unalo taka.
Unajua mpaka muda huu hujajibu hata swali moja,ila mimi najibu kila swali ninalo kuuliza,sasa huu utoto unatakiwa kuuacha.
Baada ya swali hili usiulize swali lingine kabla hujajibu maswali yangu niliyo kuuliza.
Kuuliza amejuaje kunaonyesha ni namna gani humjui Mola wetu na ajabu ujasiri wa kumzungumzia usie mjua unaupata wapi ?
Swali la kujua amejuaje halistahiki kwake sababu yeye ndio ameumba kila kitu.
Nakukumbusha ujibu maswali yangu niliyo kuuliza huko nyuma na ninayo kuuliza.
Tuendelee ....
Mfano kama huu mungu amemuumba MTU ili awe mweusi lakini yeye anataka kuwa mwarabu si ukichaa huuUtatulia tu , Kama Mungu ameshaamua kuwa wewe Zuri utaingia motoni kabla ajakuumba , wewe Zuri ndio ujui kuwa utaingia motoni au peponi , kwako wewe Zuri ndio jambo jipya likitokea, lakini kwa Mungu wako ni jambo alilolifahamu kabla ajakuumba sasa wewe una uhuru gani kama sio vichekesho
Inakuwaje?
Mchungaji alisemaje mkuu?haya mambo ni hatareee sana mwanzo life coded nilikua nambishia sana kuhusu haya mambo ya kiiman za kimungu
kunasiku nilimuuliza mchungaj juu ya ile kauli ya "MIMI MUNGU MWENYE WIVU" jibu alilonipa sita kaaa niende kanisan tena
Inasemekana kuwa Mungu anamjua mtu tangu anamuumba, yaani tangu mtu anazaliwa Mungu anajua kila kitu chake maisha yake yote. Iweje amuumbe shetani halafu asijue kuwa huyu atakuja kuniasi?Mfano Mungu alimuumba Lusifa na mpango wake ulikuwa kwamba Lusifa aishi vizuri na Mungu lakini hilo likavurugika. Ikaja tena Mungu akamuumba mwanadamu akiwa na mpango kwamba nae aishi bila kutenda dhambi lakini huo mpango ukavurugika baada ya shetani kumrubuni mwanadamu na kula tunda. Mifano ya hiyo mipango "mizuri mizuri" iliyokuja kuvurugwa ipo mingi.
Nini hasa lilikuwa lengo la kuuweka huo mti wa mema na mabaya? Inaonyesha wazi kuwa Mungu alicreate mazingira ya kumfanya bidadamu atende dhambi. Mti Kama huo aliuumba wa kazi gani Kama sio kutafutiana lawama?Kitabu cha Mwanzo sura ya 2 fungu la16-17: Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, 17. walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
(HILI ONYO ALIPEWA ADAM KABLA YA HAWA KUUMBWA MAY BE NDIO MAANA HAWA ALIOPKULA HILI TUNDA HAKUNA KILICHOTOKEA MPAKA PALE ADAM NAYE ALIPOKULA. INAONEKANA HAWA ALIAMBIWA NA ADAM MAANA WAKATI MUNGU ANATOA HILI AGIZO KWA ADAM HAWA ALIKUWA BADO HAJAUMBWA)
Kitabu cha Mwanzo sura ya 2 fungu la 18: Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Yani wanaongea vitu havina mbele wala nyuma..Kabla akijatokea ashajua , sasa kutokea kwake uoni sio jambo jipya kwake ni marudio tu , sasa wewe marudio unaona ni uhuru ahahahahaahaha
Acha matusi na ujikite kwenye hoja mkuu au ndiyo mungu wako anakufundisha matusi..Na ulaaniwe, mwenyez mungu anasema watu walio viziwi kusia haya zake naye anawazidishia ugumu zaidi ili ukija kuzinduka mda ushapita utabaki na majuto tu. Inaonesha dhahiri watu humu wanavuta bangi kwanza ndo wanakuja kujadili habari za dini na pia inaonesha mtu amelelewa maisha kama ngurue tu .Hv mtu aliolelewa na wazaz wenye kujielewa kwel anashindwa kujifunza kwa nn kuna vitu akifanya anapigwa ,Jibu c lipo wazi kwasababu mzazi kaweka sheria zake ukizivunja ndo anakuchapa sasa utasema kosa LA mama yako au baba yako kwanini alikukataza usifanye kitu fulani. Kuna vitu unaweza ukaona unafanya sifa ili uonekane ila utakuja kujuta quran inasema utumie vizur ulimi wako pia hata sheria za kidunia zinasema hivyohivyo ulimi unaponza .
Kumbe allah mwenyewe ndiyo kamfanya awe hivyo?Nimekuuliza hivyo kwasababu ya uandishi wako unaonekana mwenyezi mungu kakuwekea pazia zito kabisa unashindwa hata kujifunza kwa mifano
Huyu anaonekana wale vilaza waliokunywa maji ya bendera ya dini.Wewe kweli zero , tunajadili mambo ya bunge humu kwanini sisi ni wabunge ? tafuta maarifa sio dini wewe ahahhaahaaaha