ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 8,571
- 7,218
Kujali wazazi hili nalo unahitaji ufundishwe kweli !! halafu umejuaje mimi mvuta bangi ? kijana jikite kwenye mambo ya msingiHuyu ni muhuni mvuta bangi kwa muonekano tu wamaandishi unaweza kujua tabia yake cjui kama anawajal hata wazazi wake