Sababu nimeamua kukufundisha haina budi,acha niendelee kukufundisha japo unanichosha kwa ujinga wako,hakuna sehemu ambayo tunasema au inasemwa Mola ameamu tunasema Mola anajua. Sasa labda uniambie wewe hili tamko kuamuaumelipata wapi ?Utatulia tu , Kama Mungu ameshaamua
Ndio hakuna marudio hapo,huelewi nini au unabisha ujinga ?kwako wewe Zuri ndio jambo jipya likitokea, lakini kwa Mungu wako ni jambo alilolifahamu kabla ajakuumba sasa wewe una uhuru gani kama sio vichekesho
Jambo huitwa marudio sharti liwe limefanyika kabla na kujua yajayo hakusemwi ni marudio.