Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

Dini inasema baadae mungu akamuumba mwanadamu na kumuweka Duniani, maana yake mwanadamu alipowekwa duniani tayari shetani alikua duniani muda mrefu tu anakula zake maisha.

Unaweza kutupa ushahidi wa haya maneno ?

Je unajua ilikuwaje Ibilisi akatolewa katika rehma za Mola muumba ?

Nakukumbusha tu,kilichomfanya Ibilisi(Shetani) kufukuzwa ni yeye kukataa kumsujudia (Kumpa heshima) Adamu. Hii ina maana ya kuwa Adamu amemumbwa kipindi Shetani bado yupo mbinguni. Rejea Qur'aan sura ya pili (al Baqara) inaelezea kisa hicho.

Nipo ....
 
Baada ya kurubuniwa na Shetani (kama ni kweli) binadamu tumekuwa tukipata mateso sana katika dunia hii mfano kupata magonjwa, njaa, vifo n.k. wakati tukiendelea kusubiri hiyo siku ya kiama (kama ipo) ambapo kwa waliotenda maovu napo watapata adhabu nyingine kubwa zaidi. Swali langu ni je kwa upande wa Shetani yeye amekuwa akipata shida au mateso gani hapa kati kati wakati na yeye akisubiri hiyo siku ya kuangamizwa yeye na wafuasi wake?
Ahahahaaaaahahahahaa ngoja wenye dini waje waseme hilo tusubiri
 
Unaweza kutupa ushahidi wa haya maneno ?

Je unajua ilikuwaje Ibilisi akatolewa katika rehma za Mola muumba ?

Nakukumbusha tu,kilichomfanya Ibilisi(Shetani) kufukuzwa ni yeye kukataa kumsujudia (Kumpa heshima) Adamu. Hii ina maana ya kuwa Adamu amemumbwa kipindi Shetani bado yupo mbinguni. Rejea Qur'aan sura ya pili (al Baqara) inaelezea kisa hicho.

Nipo ....
Hapo ndio huwa mnatuchanganya!!!! Kitabu kipi kiko sahihi!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini haisemi kwa nini shetani aliasi na ilikuaje akaasi. Dini inasema mungu anajua kila kitu, all knowing lakini haisemi mungu alishindwaje kujua kua shetani atakuja kuasi ili asimuumbe. Na kama alijua shetani atakuja kuasi kwa nini alimuacha aasi. Mbaya zaidi huo mgogoro wao umetuingiza na sisi binadam ambao hatujui chanzo cha mgogoro. Yaani mungu anarecruit binadam washirikiane nae mwenye mgogoro wake na shetani huku binadam hawajui chanzo cha mgogoro wao. Na mungu anatishia kua yoyote ambae hatashirikiana nae kwenye mgogoro huo atampanish vikali. Unajiuliza hakuaje involved kwenye mgogoro nisioujua chanzo chake na natishiwa adhabu kali kama sitashiriki huo mgogoro, hivyo watu waoga na wajinga wanalazimika kushiriki mgogoro blindly ili kuogopa adhabu.

Hapa sijajua unaizungumzia dini gani ? Ama katika Uislamu sababu ipo wazi iliyomfanya Shetani aasi na kwanini aliasi.

Shetani na malaika baada ya kuambiwa wamsujudie Adamu,wote walimsujudia isipokuwa Shetani,na kwanini alifanya vile,alifanya vile sababu ya kuhisi kuwa yeye ni bora kuliko binadamu,kwani yeye ameumbwa kwa moto na binadamu ameumbwa kwa udongo dhalili uliovunda,sasa akaona iweje yeye aliyeumbwa kwa moto akamsujudia binadamu aliyeumbwa kwa udongo ? Hii ndio sababu kwayo ilimfanya Shetani atolewe katika rehma za Allah aliye juu.

Nipo ....
 
Wewe uko upande gani kati ya hapo?

Sent using unknown device
Unapo fanya maamuzi bila kua na maarifa katika kileunacho amua sikuzote hatima yake ni kuangamia.. na shetani huwatumia wasio na maarifa maana hao hawata kielewa wanacho kiongea mbele za watu.

Nakushauri tafuta kwanza maarifa ya Mungu uyaelewe ndio ufanye maamuzi.. na nahakika baada ya kuyaelewa huwezi fanya haya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kutupa ushahidi wa haya maneno ?

Je unajua ilikuwaje Ibilisi akatolewa katika rehma za Mola muumba ?

Nakukumbusha tu,kilichomfanya Ibilisi(Shetani) kufukuzwa ni yeye kukataa kumsujudia (Kumpa heshima) Adamu. Hii ina maana ya kuwa Adamu amemumbwa kipindi Shetani bado yupo mbinguni. Rejea Qur'aan sura ya pili (al Baqara) inaelezea kisa hicho.

Nipo ....
Shetani kutakiwa kumsujudia Adam inamaanisha Adam alikuwa yupo juu ya shetani na pengine hata kizazi cha Adam kingeendelea kuwa juu ya shetani.

Sasa kama ndivyo iweje hadi leo shetani ndiyo ana uwezo mkubwa zaidi ya mwanadamu wakati wote walitenda dhambi tena Adam na Hawa wote wakirubuniwa na shetani ambaye kiuwezo alitakiwa kuwa chini yao?
 
Shetani kutakiwa kumsujudia Adam inamaanisha Adam alikuwa yupo juu ya shetani na pengine hata kizazi cha Adam kingeendelea kuwa juu ya shetani. Sasa kama ndivyo iweje hadi leo shetani ndiyo ana uwezo mkubwa zaidi ya mwanadamu wakati wote walitenda dhambi tena Adam na Hawa wote wakirubuniwa na shetani ambaye kiuwezo alitakiwa kuwa chini yao?

Ana uwezo mkubwa katika nini dhidi ya mwanadamu ?
 
Mbona hakutoa adhabu ya kifo kwa shetani ambaye ndiye source ya kila baya, ila tunamuona katoa adhabu kwa binadamu ya kula kwa jasho, kuzaa kwa uchungu na hatimae kufa

Sent using unknown device
Adhabu ya milele ni ile kuishi motoni (jahanam) na hiyo ni baada ya kufa, hivyo shetani baada ya kuasi aliondolewa katika wale viumbe wema, kwa kuwa aliomba aishi kwa muda mrefu ndiyo maana Mungu alimkubaliya ombi lake rejea kwenye aya za Kurani 15:26-50 hapo chini:-

26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 26

27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. 27

28. Na Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Hakika Mimi nitamuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 28

29. Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia. 29

30. Basi Malaika wote pamoja walimsujudia, 30

31. Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu. 31

32. (Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una nini hata hukuwa pamoja na walio sujudu? 32

33. Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unaotoa sauti, unao tokana na matope yenye sura. 33

34. (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! 34

35. Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. 35

36. Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapofufuliwa. 36

37. (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula 37

38. Mpaka siku ya wakati maalumu. 38

39. Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote, 39

40. Ila waja wako walio safika. 40

41. Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka. 41

42. Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata. 42

43. Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote. 43

44. Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa. 44

45. Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 45

46. (Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani. 46

47. Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana. 47

48. Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo. 48

49. Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 49

50. Na kwamba adhabu yangu ndio adhabu iliyo chungu! 50
 
Hapa sijajua unaizungumzia dini gani ? Ama katika Uislamu sababu ipo wazi iliyomfanya Shetani aasi na kwanini aliasi.

Shetani na malaika baada ya kuambiwa wamsujudie Adamu,wote walimsujudia isipokuwa Shetani,na kwanini alifanya vile,alifanya vile sababu ya kuhisi kuwa yeye ni bora kuliko binadamu,kwani yeye ameumbwa kwa moto na binadamu ameumbwa kwa udongo dhalili uliovunda,sasa akaona iweje yeye aliyeumbwa kwa moto akamsujudia binadamu aliyeumbwa kwa udongo ? Hii ndio sababu kwayo ilimfanya Shetani atolewe katika rehma za Allah aliye juu.

Nipo ....
Biblia inasema alitängulia kuumbwa shetani kabla ya adam!! Sasa kitabu kipi kinaelezea ukweli hii Story!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia inasema alitängulia kuumbwa shetani kabla ya adam!! Sasa kitabu kipi kinaelezea ukweli hii Story!!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukweli kwamba binadamu ni kiumbe cha mwisho kuumbwa. Lakini unapozungumzia tukio la kuasi kwa Shetani (Ibilisi),binadamu alikuwa ameshaumbwa tayari. Wote walikuwa kwenye kikao kimoja siku hiyo.

Nakariri tena kuhusu usahihi wa kitabu,hii ni mada pweke.

Nipo ....
 
Ana uwezo mkubwa katika nini dhidi ya mwanadamu ?
1. Kwanza kabisa kuwa na uwezo wa kumrubuni mwanadamu na kula tunda. Hapo alimwingiza mkenge mwanadamu na kudhihirisha kwamba yeye ana uwezo mkubwa zaidi.

2. Anaendelea kuwarubuni wanadamu mamilioni na mamilioni katika sekunde ile ile na kuwafanya au kuwawezesha kutenda dhambi.

3. Wanadamu wanatumia mbinu zinazotolewa na shetani katika kufanikisha kutenda maovu yao. Yaani kwa maneno mengine shetani anawatumikisha wanadamu kufikia malengo yake. Lakini wanadamu hawamtumikishi shetani na badala yake wanamtumikia.

Hayo ni kwa uchache tu.
 
Hakimu Mfawidhi hivi wewe ulipokuwa unaandika hizi hoja zako ambazo hazina mantiki ulikuwa unataka Mungu akuzuie?
Kuna mamabo Mungu anataka sisi tuwe nayo hayo akayafanya siri na kuna mambo akataka sisi tuyatende hayo yakawa dhahiri.
Sasa Mungu akikuambia usiabudu mungu zaidi ya mimi, wewe ukaasi amri hii unataka akufanye nini?
Amekuamrisha usizini, usiibe, usilewe, usifanye khiyana, usiseme uongo, usile riba, usiue, usimtamani mke wa mwenzio, usidhulumu, ufanye ibada, utoe sadaka n.k. Kama maarisho hayajatekelezwa nini unataka kifanyike? Na Yeye Mungu ameshaweka kanuni zake, ikiwa kiumbe chake kitafanya kinyume na anavyotaka basi adhabu inamuhusu. Ujuzi wa Mungu hausiani na matendo yetu maovu, kwa kuwa biandamu na majini ni viumbe vilivyopewa khiyari yaani kuchagua mambo wanayotaka kuyafanya na huu ndiyo mtihani mkubwa. Mungu huwa hawaadhibu watu ambao ujumbe wake haujawafikia.
Ujamuelewa vizur,swali sisi tunaanzaje kutumikia adhabu ambazo vurugu lake hatukuwepo uko mbinguni wakati wa uasi wa shetani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hakutoa adhabu ya kifo kwa shetani ambaye ndiye source ya kila baya, ila tunamuona katoa adhabu kwa binadamu ya kula kwa jasho, kuzaa kwa uchungu na hatimae kufa

Sent using unknown device

Kwanza sio kweli ya kuwa Shetani ndio chanzo cha kila baya.

Pili,baada ya Shetani kukaidi ile amri,alimuomba Mola wake asimfishe mpaka itakapo karibi kiama,na aka ahidi kuwapoteza wanadamu na Mola akasema ya kuwa atawapoteza wale ambao watamtii yeye Shetani lakini wale waja wa Allah wenye kumtii,katu Shetani hatawapoteza.

Na miongoni mwa viumbe wa mwisho kufa ni Shetani laana ya Allah iwe juu yake.

Nipo .....
 
Adhabu ya milele ni ile kuishi motoni (jahanam) na hiyo ni baada ya kufa, hivyo shetani baada ya kuasi aliondolewa katika wale viumbe wema, kwa kuwa aliomba aishi kwa muda mrefu ndiyo maana Mungu alimkubaliya ombi lake rejea kwenye aya za Kurani 15:26-50 hapo chini:-

26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 26

27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. 27

28. Na Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Hakika Mimi nitamuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura. 28

29. Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia. 29

30. Basi Malaika wote pamoja walimsujudia, 30

31. Isipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu. 31

32. (Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Iblisi! Una nini hata hukuwa pamoja na walio sujudu? 32

33. Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unaotoa sauti, unao tokana na matope yenye sura. 33

34. (Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! 34

35. Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. 35

36. Akasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapofufuliwa. 36

37. (Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula 37

38. Mpaka siku ya wakati maalumu. 38

39. Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote, 39

40. Ila waja wako walio safika. 40

41. Akasema: Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka. 41

42. Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na mamlaka juu yao, isipo kuwa wale wapotofu walio kufuata. 42

43. Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote. 43

44. Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa. 44

45. Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 45

46. (Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani. 46

47. Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe ndugu juu ya viti vya enzi wameelekeana. 47

48. Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo. 48

49. Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 49

50. Na kwamba adhabu yangu ndio adhabu iliyo chungu! 50
Hiyo namba 26 inaonesha Mungu hakuwa pekeake!! Em fafanua hapo mkuu

Hapo namba 49 na 50 naona kama vile vinapingana. Au sijaelewa
 
1. Kwanza kabisa kuwa na uwezo wa kumrubuni mwanadamu na kula tunda. Hapo alimwingiza mkenge mwanadamu na kudhihirisha kwamba yeye ana uwezo mkubwa zaidi.
2. Anaendelea kuwarubuni wanadamu mamilioni na mamilioni katika sekunde ile ile na kuwafanya au kuwawezesha kutenda dhambi.
3. Wanadamu wanatumia mbinu zinazotolewa na shetani katika kufanikisha kutenda maovu yao. Yaani kwa maneno mengine shetani anawatumikisha wanadamu kufikia malengo yake. Lakini wanadamu hawamtumikishi shetani na badala yake wanamtumikia.

Hayo ni kwa uchache tu.

Lakini Adamu alipowekwa kwenye ile bustani alitahadharishwa juu ya ule mti. Kuhusu kuwarubuni binadamu ni kwa wale walio acha dini na kufata matamanio ya nafsi zao,na hili Allah alimwambia Shetani ya kuwa ataweza kuwarubuni wale wafatao matamanio ya nafsi zao na kuacha maamrisho ya Mola wao.

Nipo ....
 
Back
Top Bottom