Kwanini Mungu aliamua kutumia njia ya vitisho ili kujenga imani ya uwepo wake?

Hivi ni kwanini siku za karibuni hasa huu mwaka idadi ya watu wanaomkana Mungu imeongezeka sana?

Huku tuendako sijui hali itakuwaje ukizingatia Democrats wameshinda uchaguzi.
"Wanaomkana Mungu"

Inamaana yupo ila kuna kundi tu la watu limeamua kumkana?

Democrats kushinda uchaguzi kwasababu mfumo wao ni huru na haki haufanani na huu wa nec
 
Sijui ndio umeandika kitu gani, yaani hata haiingii aiklini.

Hivi kama ingekuwa ni hivyo kama ulivyosema, si kila mtu angeamini hata wewe ungeamini, lakini hata wewe umeyasikia hayo mambo uliyoyaita vitisho lakini hujamuamini mungu.

Kwa sababu ili hayo mambo yawe ni vitisho kwa mtu ni lazima awe ameamini kwanza kuwa hayo mambo yapo, so it's obvious kuwa ni imani ndio inayotangulia ili mtu aweze kuogopa au kutamani.

Hivyo hebu shughulisha ubongo wako halafu ndio uje kuandika tena hapa kitu kinachoeleweka.
 
"Wanaomkana Mungu"

Inamaana yupo ila kuna kundi tu la watu limeamua kumkana?

Democrats kushinda uchaguzi kwasababu mfumo wao ni huru na haki haufanani na huu wa nec
Mungu yupo kwa imani.

Hao Dems sera zao nyingi ni kama elements za 'Antichrist'.
 
Back
Top Bottom