jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,604
- 3,753
Kwahiyo zamu ya sa100 ni liniMumewe ana wake watatu sasa huenda yuko kwenye zamu za wakeze wawili hawezi kukiuka utaratibu wa kiimani kwa kumpendelea huyu
Kwahiyo zamu ya sa100 ni liniMumewe ana wake watatu sasa huenda yuko kwenye zamu za wakeze wawili hawezi kukiuka utaratibu wa kiimani kwa kumpendelea huyu
Kwahiyo zamu ya sa100 ni lini
Kwa hiyo mama ana share dudu na wake wenzake hatari sana hii, what if mmoja wao ana Chylamidia? So hata mama inawezekana kupata 😂Mumewe ana wake watatu sasa huenda yuko kwenye zamu za wakeze wawili hawezi kukiuka utaratibu wa kiimani kwa kumpendelea huyu
Wewe ambaye unajadili biashara kila kukicha una miliki billions ngapi kwa sasa, acha unafiki wewe dada wanaume hatuna roho za namna hiyondio maana tunashindwa kushindana kibiashara kwa sababu uwezo wetu wa kufikiria umejikiti kwenye vitu visivyo na tija!!!
kuna mambo ya msingi mengi tu yenye faida ya kujadili yaliyo tokana na ziara ya Mhe. Rais. wakenya wanajadili namna sasa ya kutumia fursa za kibiashara zilizo funguka, sisi tunajadili mambo yasiyo na tija!!!
tujitafakari, huenda pia ndio sababu inayo tufanya tubakie nyuma.
Hama Mkuu wenzio tunafaidi na hakuna stress wala presha kabisa. Wanaume wenye wake wengi huwa hawafi mapema kama wenye Mke mmoja.Kuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
Just be where you wish to belong, kama sababu yenyewe ya kuutamani uislamu ni ulafi wa ngono hata waislamu hawatahitaji uwe mmoja kati yao, usitumie dini kama sababu ya kuhalalisha hitaji lako, yaani ni hivi, once wewe ni mpenda ngono utakuwa hivyo tu, ushauri anzisha dini yako kama yule nabii Tito...Kuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
Yaani kabisa umekuja na mada ya kutuulixa hii swali,mMara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?
Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea masuala ya nchi, wenza wao wangekuwa pamoja wakiwangoja wenza wao ambao ni Marais?
Hayo ni yako mkuu, wala hayanihusu, na umejipendekeza Tu kunijibu....!! Tamaa ya ngono ni shart la hiari na sio dhambi madam iwe halali, Kuwa wake wanne au mmoja just your choice ..usnitishe na dini yako mandazi hyo bossJust be where you wish to belong, kama sababu yenyewe ya kuutamani uislamu ni ulafi wa ngono hata waislamu hawatahitaji uwe mmoja kati yao, usitumie dini kama sababu ya kuhalalisha hitaji lako, yaani ni hivi, once wewe ni mpenda ngono utakuwa hivyo tu, ushauri anzisha dini yako kama yule nabii Tito...
Dini ina mambo mengine mengine hayatufarahishi kiubinadamu, mfano, je ukiachana na mke wako kwa talaka kadhaa, itabidi usubiri aolewe na mtu mwingine kwanza ndo uje umuoe tena.
Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?
Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea masuala ya nchi, wenza wao wangekuwa pamoja wakiwangoja wenza wao ambao ni Marais?
Wee jamaaaaKuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
Nadhani huku sasa ni kuingilia the right to privacy ya rais wetu.
Kwa vile tumezoea kuwa na rais mwanaume, hivyo mkewe huacha kazi na kuwa a 1st Lady hivyo kuwa free kuandamana na mumewe kokote. Lakini kwa vile sasa rais ni mwanamke, mume wa rais, hawajibiki kuacha shughuli zake ili kugeuka a first gentlemen.
P