Kwanini mtuhumiwa mkubwa wa Madawa (MOST WANTED) anakamatwa lakini watu wanamjali Wema zaidi humu?

sasa bangi na mirungi nayo ni madawa ya kulevya wakati hapa namanga watu wanavitu.ia miaka na miaka wala hawapati mazara
 
hiyo wala ndugu yangu inaonekana siyo issue kabisa,ndo ujue amna kitu kibaya huki duniani kama siasa maji taka
 
Inawezekana hujamuelewa unadhani kama tuandamane kupinga ama tufanyeje maana Mheshimiwa Rais kasema I wish angekuwa IGP unajua maana yake
Halafu mbona wanakamatwa wale tusiowajua wanaojulikana hawakamatwi
pengine hawa unaowajua siyo wahusika au ina ushahidi mkuu
 
Una hakika huyo ni drug lord mkubwa au scape goat while yuko jela. Na kwa nini drugs zimeendelea na yeye yuko jela
 
Inawezekana hujamuelewa unadhani kama tuandamane kupinga ama tufanyeje maana Mheshimiwa Rais kasema I wish angekuwa IGP unajua maana yake
Halafu mbona wanakamatwa wale tusiowajua wanaojulikana hawakamatwi
unamjua nani? kama unamjua peleka taarifa kwa wahusika, kichaka cha kujificha wenye skendo si kipo wee taja tu.
 
In mexico hiyo siyo habari unamkamata drug lord wanaibuka wengine! Hivi nyiye vita ya drugs mnaijua au mnaongea tuu? Mmefanya research? My friend drugs wakikamatwa kingpins wanaibuka kingpins wengine na bei ya mzigo hupanda! You cant win war in drugs wameshindwa usa na china utaweza tz! Au mnaona mfano wa phillipines mnadhan mtaweza? Kuweni serious mpaka leo sijasikia one kg ya cocaine or heroine iliyokamatwa zaidi ya vikete kadhaa mbaya zaidi mnakamata mirungi na bhangi mnatangaza tumekamata drugs so and so! Yaani wa tz kwa kufuata upepo nawavulia kofia! Toka lini bhangi na mirungi ikawa class moja na heroin, cocaine etc
Weli seidi broda
 
jamaa anataka kulinganisha na jamaa wa mexico ambao waliwahi kuvamia kituo kikubwa cha polisi na kuua wote kisha kuondoka na bosi wao/druglord. Au mzee wa Plata or Promo colombia aliyekodi jeshi akafunga mji mzima kama posta hapo kwa risasi mabomu na vifaru na kufumua mahakama kuu kuchoma kila ushahidi. Siasa isitufanye kuwa wapinzani na vitu ambavyo vinawezekana. vita ni ngumu lakini kwa level ya tz inawezekana bado
Sure Mkuu! Hivi Drugs Lord WA kibongo washafanya jambo gani la kutisha hapa!?

Wakati SA police anamwogopa Drugs Lord, eti Tanzania anayetajwa Kama Drugs Lord mkubwa anajisarimisha Police!
Really!?
Then unalinganishaje Drugs Lod Bongo Na Mexico, US or SA?
 
Hivi nyie mnacheza na drug lords? ukiiingia kwenye anga zao wanakumaliza wana ma Hitman kila kona. Hii anayofanya Daudi na Polisi ni maigizo tu.
 
Back
Top Bottom